Magufuli alichelewa kuwa Rais wetu

Sio uchumi wa kati, bali uchumi wa chini wa kati, tena ni kwa muda mfupi sana. Tungekuwa uchumi wa kati tusingerudi kirahisi kwenye uchumi wa chini. Hivyo jitihada kucha upotoshaji wa kijinga.
Nashukuru hujapinga japo ni mjinga!
 
Mkuu maslahi ya chama na matumbo yao ni muhimu sana kwa chadema kuliko hali iliyopo sasa hivi hao ndio wanasiasa,, kama huyu alieandika hii mada anamsema mtu aliefariki tayari na hawezi kuthibitisha kwa facts mengi aliyoandika yote hiyo ni kupata faida ya kisiasa.
 
Hivi kuna nchi duniani imeshughulikia Covid-19 vizuri kuzidi Tanzania?

Kwa kuweka kibanda cha ushirikina kwenye hospitali kubwa ya nchi ili kujifukiza. Kuficha taarifa za wagonjwa.
 
Jpm was a hero kila.mru analijua hilo, mtoa post umeanza vizuriiiiiiii nikavutiwa kusoma ila taratibu ukaanza kuharibu, nlivogundua unamponda nikaishia hapohapo
 
Je vp wewe ni mwema????
 
Acha kudanganya nafsi yako. Ni mambo makubwa gani aliyoyafanya huyu DIKTETA zaidi ya kutuharibia Nchi?

Kwani wewe PRINCE CROWN umezaliwa mwaka 2015 baada ya Magufuli kuwa Rais?

Nakuhakikishia hiyo ya kujenga madaraja na barabara ni majukumu ya Rais, na waliomtangulia walifanya makubwa mno kuliko yeye bila kuua wakosoaji Wala kubana demokrasia
 
Ulieleta uzi subiri wabwia unga na wahujumu uchumi Na wale wa vyeti feki waje hapa jukwaani wakupe takwimu zao za vichochoroni.
 
LA maana hapa uliloandika ni katiba basi!

Mengine umeandika ujinga uliokujaa kichwani mwako!

Kwamba JPM aliwahadaa hadi WB kutuweka uchumi wa kati?

Pimbi wewe!
Hata hujui takwimu za WB zinatoka wapi, tatizo la watanzania kazi kuropokaropoka
 
najuaga una akili kidodo kumbe hakunakitu kabisaa kichwani kwani amgufuli kaafanya nini maisha hayawezi endelea kila siku magufuli katutia vidole katutia vidole shida nini amesha kwenda yaani hata wazire huwezi kukuta wanamsema hivyo mobutu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…