Magufuli alichelewa kuwa Rais wetu

Kama tunakosoa hadi marehemu hivi kwanini Nyerere tunaogopa kumkosoa tumepata wapi hiyo nidhamu ya uwoga ya kuogopa kuona ni kosa kumkosoa Nyerere? Nakumbuka Lissu alijaribu kutaka kuondoa hiyo nidhamu ya uoga ya kuogopa kumkosoa Nyerere ila alipata pingamizi.

 
Umeandika uharo tu
 

Kukosoa wafu haina tija. maana hawajui lolote. hawawezi kujibu au kufafanua jambo.
 
Kama Huna UWEZO wa kumfufua Ili umwadhibu, kuhangaika nae ni kujitafutia uchizi.

Mabaya yote yake yabebeshwe Kwa CHAMA Cha KIJANI kilichomleta.

RASIMU alosimamia Judge Warioba irudi mezani mjadala uanzie hapo.

Mzee wetu ateuliwe tena amalizie KAZI aliyoianza.

Ameeeen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…