Magufuli alidili na wapinzani mchana kweupe, ila kwa sasa wanashughulika nao gizani

Magufuli alidili na wapinzani mchana kweupe, ila kwa sasa wanashughulika nao gizani

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
5,532
Reaction score
14,164
Kitu kimoja kutoka kwa Magufuri hakuwa mnafiki, alidiali na Upinzania mchana kweupe kabisa, hakudanganya kwamba ni mwana Democrasia hapana alikuwa wazi kabisa na alitanka wazi wazi kudili na Wapinzani wake.

Kwa sasa ni full unafiki na uswahili sana, Mchana wanahubiri zile 4R zake ikifika usiku giza likiingia wanaanza kudili na upinzani hasa CDM.
 
Back
Top Bottom