Hili mbona lipo wazi.Leo hii tunaona wote, wale wanaoamini katika Magufuli wamewekwa benchi.
Lakini aliyetuaminisha Ridhiwani anauza madawa ya kulevya anachanja mbuga tu.
So ilikuwa mpango ili aaminike na Magufuli na amuamini ili badae amuuze ?
Imagine Makonda asingekuwa team Msonga kisasi chake kingekuwaje leo?
R.I.P Magufuli
Makonda timu wahuni kitambo , sema mwamba ni mnafiki wa kiwango cha SGR !! uzuri ni mtu wa kimya sio wa hararaMakonda alianza kua DC kinondoni enzi za kikwete akiwa na miaka 28 tu.
Huyo aliwahi kuwa kuwadi wa mama zamani za kaleLeo hii tunaona wote, wale wanaoamini katika Magufuli wamewekwa benchi.
Lakini aliyetuaminisha Ridhiwani anauza madawa ya kulevya anachanja mbuga tu.
So ilikuwa mpango ili aaminike na Magufuli na amuamini ili badae amuuze ?
Imagine Makonda asingekuwa team Msonga kisasi chake kingekuwaje leo?
R.I.P Magufuli
Kwa wale ambao hawamjui vizuri Makonda ni miongoni mwa zile product za wana Mtandao kupitia Samuel Sitta(Kumbuka ni miongoni mwa wana mtandao mwandamizi)Leo hii tunaona wote, wale wanaoamini katika Magufuli wamewekwa benchi.
Lakini aliyetuaminisha Ridhiwani anauza madawa ya kulevya anachanja mbuga tu.
So ilikuwa mpango ili aaminike na Magufuli na amuamini ili badae amuuze ?
Imagine Makonda asingekuwa team Msonga kisasi chake kingekuwaje leo?
R.I.P Magufuli
Upo sahihi unajua wajinga ni wengi kuliko werevu sasa makonda anatumia mtàji wa wajingaBashite ni nyoka mwenye sumu kali sana. Mafanikio yake anayapata kwa kuwafitini wengine. Bahati mbaya wananchi wengi wako na low thinking capacity amefanikiwa kuwalaghai.
Hii ni kweli kabisa ovaKwa wale ambao hawamjui vizuri Makonda ni miongoni mwa zile product za wana Mtandao kupitia Samuel Sitta(Kumbuka ni miongoni mwa wana mtandao mwandamizi)
Na aka rectruited Tiss kupitia Mikono ya Benard Camilius Membe na Makonda ndiye alikuwa akimsanua Membe mipango yooote michafu dhidi yake Magufuli alikuja kujua ikiwa toooooooo late na ndiye kwenye Serikali yake awamu ya pili alimkata Bashite jina kule kigamboni kumtupa nje ya uzio lakini kama nilivyosema it was tooooooooo lateeeeee kwa JPM.
Makonda snitch kama masnitch wengine na pia alikuwa ashawageuka wana mtandao hivyo hadi sasa haaminiki kama mwanzo isipokuwa wanataka kumtumia ili wakishakaa mtandaoni 2027 watampangusa taratibu hadi kufika 2030 tutarudi wote hapo panapo uzima huyo Bashite atakuwa kama Majaliwa tu wa leo.
Kwani Makonda ameanza kula cake ya taifa si wakati wa Jakaya? Akimfunga kamba za viatu Riz1,
Je Makonda hakuwa na ukaribu na familia ya Mzee sitta? Ambao ni mwanamtandao mwenzao?
Makonda aliwekwa karibu na JPM ili kikosi fulani kipate ushindi, naye Mwendazake alishindwa kung'amua hilo, kisa ukabila, ndo kimemlambaa hivyoo.
Doooh
Nani atalipa kisasi? Haiwezi kuwa.Ulikuwa ukosefu wa maarifa.
Ila amini nakuambia huko mbeleni huyohuyo atalipa kisasi
Nani atalipa kisasi? Haiwezi kuwa.
Wachaa wee!!Subiri ujionee.
Tatizo la kuwa msaliti na ukamsaliti aliyekuamini ni mbegu ya kufanya usaliti wa mara ya pili kama kisasi.