Magufuli alihujumiwa na Makonda?

Samia hadi 2045..mtaweukaa!
 
Makonda mwasisi wa Wasiojulikana
 
siku za mwishoni makonda aliondolewa ukuu wa mkoa nafikiri, labda sababu ni snitching …
 
Hili jambo linafahamika kipindi kirefu sana mkuu.
 
Sikujua kama mji wetu wa Arusha una washamba kiasi hiki...kila mahali leo ni Makonda, wadudu, boda boda eti wanamsindikiza kuchukua fomu...yaani tuko nyuma sana kama Makonda leo ni hero wa Arusha, ni masikitiko
Hilo si tatizo la ushamba pekee mkuu, ni ujinga.

Kwa makadirio ya haraka zaidi ya 90% ya watanzania ni wajinga walio na uwezo wa kufikiri ulio chini sana kiasi cha kustaajabisha
 
Makonda alianza kua DC kinondoni enzi za kikwete akiwa na miaka 28 tu.
Sio kweli kwamba alikuwa na miaka 28 unajua aliteuliwa lini UDC na mwaka wake aliozaliwa ?

Aliteuliwa mnamo tarehe 18 february,2015 na JK. Wakati huo makonda alikua na miaka 33,paulo makonda amezaliwa 15 February, 1982 kijiji cha Kolomije,wilayanl misungwi mkoani Mwanza

Mnamno tarehe 13 march,2016 Makonda aliteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa DSM na Rais Magufuli,makonda akiwa na umri wa miaka 34 ametumikia nafasi ya mkuu wa mkoa wa DSM mpaka mwaka 2020


Ukiwa chawa wake inatakiwa pia umjue vizuri😆 sio unakuwa chawa mandazi
 
Makonda aliwauza wengi sana...
Opportunist.
 
Samahani lakini lazima niseme wazi kuwa nyie nyumbu wa lissu na walinda legacy wa JPM ni watu wamoja wapumbavu sana. Huo ni ukweli
 
Kwani Konda alikuwa zao la Mwendazake?
 
Bashite ni nyoka mwenye sumu kali sana. Mafanikio yake anayapata kwa kuwafitini wengine. Bahati mbaya wananchi wengi wako na low thinking capacity amefanikiwa kuwalaghai.
Mbona wewe unalaghaiwa na Slowslow Mzee wa Vieteli na yule tajpri mwizi wa sadaka unakenua tuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…