ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Watanzania ni watu wanaishia Kwa ipepo wa matukio ya wakati huo.Hilo si tatizo la ushamba pekee mkuu, ni ujinga.
Kwa makadirio ya haraka zaidi ya 90% ya watanzania ni wajinga walio na uwezo wa kufikiri ulio chini sana kiasi cha kustaajabisha
Connection ya dots ni ngumu kweli....!Tarehe 28 Jan 2012 waliudhuria Kanisani Kwa Gwajima.
Kweli 😀Sio kweli kwamba alikuwa na miaka 28 unajua aliteuliwa lini UDC na mwaka wake aliozaliwa ?
Aliteuliwa mnamo tarehe 18 february,2015 na JK. Wakati huo makonda alikua na miaka 33,paulo makonda amezaliwa 15 February, 1982 kijiji cha Kolomije,wilayanl misungwi mkoani Mwanza
Mnamno tarehe 13 march,2016 Makonda aliteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa DSM na Rais Magufuli,makonda akiwa na umri wa miaka 34 ametumikia nafasi ya mkuu wa mkoa wa DSM mpaka mwaka 2020
Ukiwa chawa wake inatakiwa pia umjue vizuri😆 sio unakuwa chawa mandazi
Mkuu hii nchi mtandao walijisimika muda mrefu sana, yaani wako deep sana. Hii kete ilisogezwa kiufundi sana, balaa mnoHili wazo limenijia pia jana.
Jamaa ni timu msoga aliyesogezwa kwa Sizonje kwa akili kubwa.
Samahani lakini lazima niseme wazi kuwa nyie nyumbu wa lissu na walinda legacy wa JPM ni watu wamoja wapumbavu sana. Huo ni ukweli
Alivyokuwa anaitwa mtoto pendwa maana yake Baba yake alikuwa jiwe?Mkuu hii nchi mtandao walijisimika muda mrefu sana, yaani wako deep sana. Hii kete ilisogezwa kiufundi sana, balaa mno
Aisee !Kwa wale ambao hawamjui vizuri Makonda ni miongoni mwa zile product za wana Mtandao kupitia Samuel Sitta(Kumbuka ni miongoni mwa wana mtandao mwandamizi)
Na aka rectruited Tiss kupitia Mikono ya Benard Camilius Membe na Makonda ndiye alikuwa akimsanua Membe mipango yooote michafu dhidi yake Magufuli alikuja kujua ikiwa toooooooo late na ndiye kwenye Serikali yake awamu ya pili alimkata Bashite jina kule kigamboni kumtupa nje ya uzio lakini kama nilivyosema it was tooooooooo lateeeeee kwa JPM.
Makonda snitch kama masnitch wengine na pia alikuwa ashawageuka wana mtandao hivyo hadi sasa haaminiki kama mwanzo isipokuwa wanataka kumtumia ili wakishakaa mtandaoni 2027 watampangusa taratibu hadi kufika 2030 tutarudi wote hapo panapo uzima huyo Bashite atakuwa kama Majaliwa tu wa leo.
🤣 🤣 🤣 🔊Huyo aliwahi kuwa kuwadi wa mama zamani za kale
Leo hii tunaona wote, wale wanaoamini katika Magufuli wamewekwa benchi.
Lakini aliyetuaminisha Ridhiwani anauza madawa ya kulevya anachanja mbuga tu.
So ilikuwa mipango ili aaminike na Magufuli ili badae amuuze ?
Imagine Makonda asingekuwa team Msonga kisasi chake kingekuwaje leo?
Angalia Sabaya alivyopitishwa kwenye msoto.
R.I.P Magufuli
"The Snake in Suits"Huyo aliwahi kuwa kuwadi wa mama zamani za kale
Kete huwa zinachezeshwa kitaalamu Sana sio kuropoka kama pole pole , unaporopoka unafanya wapinzani waanze kuichunguza cicycle yako ambayo bado wanayo karbu , na hvyo wanaipangusa yote kimya kimya , bila kukujibuHili wazo limenijia pia jana.
Jamaa ni timu msoga aliyesogezwa kwa Sizonje kwa akili kubwa.
Jiwe ndio nani?Alivyokuwa anaitwa mtoto pendwa maana yake Baba yake alikuwa jiwe?
Magufuli alichelewa kumjua Makonda. Alimgundua dakika za mwisho za uhai wake.
sio washamba mkuu, hii inaweza kuwa inaonesha kuwa sprit ya kutiki ni kubwa kuliko NRNE... Ukiangalia ya Baba Levo na kigoma yake pia jana... ukweli mchungu lakini tuuishi tuSikujua kama mji wetu wa Arusha una washamba kiasi hiki...kila mahali leo ni Makonda, wadudu, boda boda eti wanamsindikiza kuchukua fomu...yaani tuko nyuma sana kama Makonda leo ni hero wa Arusha, ni masikitiko
Alijiondoa mwenyewe baada ya kuutaka Ubunge wa Kigamboni (Weka facts vizuri)siku za mwishoni makonda aliondolewa ukuu wa mkoa nafikiri, labda sababu ni snitching …
Polepole alisema kigezo kimoja wapo kuwa na mtandao bora ni uwe "KUPE".Leo hii tunaona wote, wale wanaoamini katika Magufuli wamewekwa benchi.
Lakini aliyetuaminisha Ridhiwani anauza madawa ya kulevya anachanja mbuga tu.
So ilikuwa mipango ili aaminike na Magufuli ili badae amuuze ?
Imagine Makonda asingekuwa team Msonga kisasi chake kingekuwaje leo?
Angalia Sabaya alivyopitishwa kwenye msoto.
R.I.P Magufuli