toriyama JF-Expert Member Joined Feb 18, 2014 Posts 1,566 Reaction score 3,234 Aug 26, 2025 #81 Sangizi said: Mkuu hii nchi mtandao walijisimika muda mrefu sana, yaani wako deep sana. Hii kete ilisogezwa kiufundi sana, balaa mno Click to expand... Inawezekana ndio sababu ya magu kutokumrudisha baada ya kuenguliwa U RC baada ya kugombea ubunge alikuwa anamtafutia sababu
Sangizi said: Mkuu hii nchi mtandao walijisimika muda mrefu sana, yaani wako deep sana. Hii kete ilisogezwa kiufundi sana, balaa mno Click to expand... Inawezekana ndio sababu ya magu kutokumrudisha baada ya kuenguliwa U RC baada ya kugombea ubunge alikuwa anamtafutia sababu
heartbeats JF-Expert Member Joined Feb 10, 2014 Posts 8,042 Reaction score 13,383 Aug 26, 2025 #82 Bashite ni double agent .mzuri tu huyu kapata kuaminika na timu zote mbili. Yani akisave huku huku anadestroy .alafu na mama wapo closer
Bashite ni double agent .mzuri tu huyu kapata kuaminika na timu zote mbili. Yani akisave huku huku anadestroy .alafu na mama wapo closer