Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
Miongoni mwa matapeli waliowahi kutokea nchi hii basi mmoja wapo ni John Pombe Magufuli.
Alikusanya umati wa bodaboda, machinga na mama ntiilie na kuwadanganya kuwa wakate vitambulisho vya maachinga kwani watakuwa na access ya kuchukua mikopo benki.
Uongo ulioje? Kitambulisho hakina hata taarifa za kina wala picha ya mhusika? Benki itakupaje hela ya mkopo?
Halafu zile pesa za mauzo ya vitambulisho zilikuwa zinaenda wapi? Maana Hazina hapakuwa na kumbukumbu yoyote.
Anyway, yeye na huyu wote ni walewale tu!!