Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
Kwani nyie wanyonge hamkuombea?Miongoni mwa matapeli waliowahi kutokea nchi hii basi mmoja wapo ni John Pombe Magufuli.
Alikusanya umati wa bodaboda, machinga na mama ntiilie na kuwadanganya kuwa wakate vitambulisho vya maachinga kwani watakuwa na access ya kuchukua mikopo benki.
Uongo ulioje? Kitambulisho hakina hata taarifa za kina wala picha ya mhusika? Benki itakupaje hela ya mkopo?
Halafu zile pesa za mauzo ya vitambulisho zilikuwa zinaenda wapi? Maana Hazina hapakuwa na kumbukumbu yoyote.
Anyway, yeye na huyu wote ni walewale tu!!
Miongoni mwa matapeli waliowahi kutokea nchi hii basi mmoja wapo ni John Pombe Magufuli.
Alikusanya umati wa bodaboda, machinga na mama ntiilie na kuwadanganya kuwa wakate vitambulisho vya maachinga kwani watakuwa na access ya kuchukua mikopo benki.
Uongo ulioje? Kitambulisho hakina hata taarifa za kina wala picha ya mhusika? Benki itakupaje hela ya mkopo?
Halafu zile pesa za mauzo ya vitambulisho zilikuwa zinaenda wapi? Maana Hazina hapakuwa na kumbukumbu yoyote.
Anyway, yeye na huyu wote ni walewale tu!!
Urongo wa nyuzi 10009 maji motoMimi nilipata mikopo kupitia kitambulisho hicho Cha machinga na niliendelea kukuza biashara yangu
Wewe ni muongo sanaa ,na ukiwa Muongo una uhalali popote kwenye Jamiii ,mimi wakati Vitambulisho vya machinga vinakuja kwa mwaka huo nilikuwa kwenye moja taasisi kubwa ya fedha na kwenye maamuzi na tuliidhinisha mabilioni ya Tzs kwa wajasiriamali kutumia hivyo vitambulisho,Muongo mkubwa wewe ,Miongoni mwa matapeli waliowahi kutokea nchi hii basi mmoja wapo ni John Pombe Magufuli.
Alikusanya umati wa bodaboda, machinga na mama ntiilie na kuwadanganya kuwa wakate vitambulisho vya maachinga kwani watakuwa na access ya kuchukua mikopo benki.
Uongo ulioje? Kitambulisho hakina hata taarifa za kina wala picha ya mhusika? Benki itakupaje hela ya mkopo?
Halafu zile pesa za mauzo ya vitambulisho zilikuwa zinaenda wapi? Maana Hazina hapakuwa na kumbukumbu yoyote.
Anyway, yeye na huyu wote ni walewale tu!!
Vinatoka sasa hivi na watu wanakopea.Miongoni mwa matapeli waliowahi kutokea nchi hii basi mmoja wapo ni John Pombe Magufuli.
Alikusanya umati wa bodaboda, machinga na mama ntiilie na kuwadanganya kuwa wakate vitambulisho vya maachinga kwani watakuwa na access ya kuchukua mikopo benki.
Uongo ulioje? Kitambulisho hakina hata taarifa za kina wala picha ya mhusika? Benki itakupaje hela ya mkopo?
Halafu zile pesa za mauzo ya vitambulisho zilikuwa zinaenda wapi? Maana Hazina hapakuwa na kumbukumbu yoyote.
Anyway, yeye na huyu wote ni walewale tu!!
Achana na Huyu kibaka aliyetumwa na magent wa kuzimu na mtandaoMimi nilipata mikopo kupitia kitambulisho hicho Cha machinga na niliendelea kukuza biashara yangu
Rostam azizi asinge kubali masikini wapumueMiongoni mwa matapeli waliowahi kutokea nchi hii basi mmoja wapo ni John Pombe Magufuli.
Alikusanya umati wa bodaboda, machinga na mama ntiilie na kuwadanganya kuwa wakate vitambulisho vya maachinga kwani watakuwa na access ya kuchukua mikopo benki.
Uongo ulioje? Kitambulisho hakina hata taarifa za kina wala picha ya mhusika? Benki itakupaje hela ya mkopo?
Halafu zile pesa za mauzo ya vitambulisho zilikuwa zinaenda wapi? Maana Hazina hapakuwa na kumbukumbu yoyote.
Anyway, yeye na huyu wote ni walewale tu!!
M.a.v.i kweli ww unaibuka tu.....fateni tamaduni za chamaMiongoni mwa matapeli waliowahi kutokea nchi hii basi mmoja wapo ni John Pombe Magufuli.
Alikusanya umati wa bodaboda, machinga na mama ntiilie na kuwadanganya kuwa wakate vitambulisho vya maachinga kwani watakuwa na access ya kuchukua mikopo benki.
Uongo ulioje? Kitambulisho hakina hata taarifa za kina wala picha ya mhusika? Benki itakupaje hela ya mkopo?
Halafu zile pesa za mauzo ya vitambulisho zilikuwa zinaenda wapi? Maana Hazina hapakuwa na kumbukumbu yoyote.
Anyway, yeye na huyu wote ni walewale tu!!
Kwani nyie wanyonge hamkuombea?