Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Tangu uone movie ya Narcos ndio umejuwa Cartels?Naona likitajwa jinabla Magufuli unaharisha mkuu. Ni cheti feki au mfanyakaz hewa? Tuambiane, maana mjadala unahusu tff na makato yao pia Magufuli kukata Cartels wewe unaleta habar ya Rage kama Rage. Au hata haukujui maana ya cartels kwa vile cheti hakiruhusu.
Wewe voicer hebu kuja uelekeze huyu jamaa maana ya cartel kama ilivyotumika asiendelee kukurupuka
Wizi wa TFF huwezi kuita Cartels wewe na huyo mleta mada hamjui cartels ni nini.