Magufuli alikuwa Sahihi Kukomesha Cartels wa TFF

Tangu uone movie ya Narcos ndio umejuwa Cartels?

Wizi wa TFF huwezi kuita Cartels wewe na huyo mleta mada hamjui cartels ni nini.
 
Ni kweli kamanda umesaidia kukazia hukumu ya maudhui ya bwana Yerico
 
Tangu uone movie ya Narcos ndio umejuwa Cartels?

Wizi wa TFF huwezi kuita Cartels wewe na huyo mleta mada hamjui cartels ni nini.
Acha uzembe wewe jamaa. Ikiwa kweli wewe ni Phd ya ukweli rudi tena ukasome huo uzi. Kisha husianisha na matukio yaliyokuwepo yakashughulikiwa kuanzia akima Wambura, Aveva, Malinzi na wengine upande wa ngumi na riadha.

Vinginevyo nimemaliza.
 
Tanzania na wizi ni sawa na mti kwenye aridhi! Ukivitenganisha, kuna kitakachoacha uhai wake
Inawezekana kumaliza wizi mkubwa mkubwa wizi mdogo mdogo Dunia nzima hua upo tu.
 
Sidhani kama kuna watu walilalamika kwa wizi wa hao TFF kushughulikiwa.Jamaa ni wezi wezi wezi mnooooo!Hawa wezi washughulikiwe!
Ila kwa ujumla hayo ndio mambo ambayo mafisadi wa sasa wanayatumia kusema ulikuwa udikteta wa Magufuli!
 
Acha uzembe wewe jamaa. Ikiwa kweli wewe ni Phd ya ukweli rudi tena ukasome huo uzi. Kisha husianisha na matukio yaliyokuwepo yakashughulikiwa kuanzia akima Wambura, Aveva, Malinzi na wengine upande wa ngumi na riadha.

Vinginevyo nimemaliza.
Umemaliza nini!? Unajuwa maana ya cartels?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…