Magufuli aliniongezea 70,000/= Kwa kupunguza paye, Samia kaniongeza 20,000/= Kwa asilimia 23.3%

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,424
Reaction score
4,954
Nimepata nyongeza kubwa ya mshahara wakati wa Magufuli kuliko wakati wa Samia japo wakati wa Samia asilimia ni kubwa.

Sina mengi ya kuongeza lakini naendelea kumshukuru Hayati DR.John Pombe Magufuli , Mungu amlaze mahali pema, tutakukumbuka daima
 
Hayati Magufuli alikuwa ana nia njema na Taifa hili, ila wahuni wachache hasa waliokuwa karibu nae wakamzunguka wakamtoa kafara..

Kwa jinsi gharama ya maisha ilivyopanda, sikutegemea huyu mama aongeze elfu 20 tu..

Hakika Magufuli ataendelea kukumbukwa na watu wenye akili njema..
 
Majizi yatakuja kupinga na kumuita muuwaji
 
Yule jamaa alinfurahisha kwa namna alivyojuw kulinda vitu, hasa vyakula na mahitaji mengine madogomadogo ambayo kimsingi ndio hugusa wengi (Ngoja nitumie mchele kama mfano).

Kitendo cha Mchele kuganda bei ya 1000-1200 kwa miaka miwili (2020-2021) bila kujali wakati wa mavuno au laah kilinifanya nimkubali sana kwenye food security, kibembe alipoingia tu huyu bibi ndani ya miezi 6 ukafikia 2000/= hapo ndo nilipoanza kushtuka kuwa tunakoelekea ni kubaya.

Ukitaka kutawala vizuri bila kelele hata kama ni mwizi basi hakikisha hauwabinyi watu watu kwenye mahitaji yao ya kila siku (hasa vyakula na viambata vyake) kwasababu hapo ndipo unapogusa hisia za wengi kwa wakati mmoja.

Utakuta mtu analipwa 500000Tsh, ila mtu huyohuyo akiwa na 10000 mkononi bado haitoshi hata kwa mahitaji ya siku moja, emagine ukinunua mchele 2Kg kwenye 5000 unabakiwa na 1000 ambayo haitoshi hata kununua mafuta nusu fanta, haya 10K imeisha hivyo😂.

Sasahivi ni wakati wa mavuno ila gunia la mahindi utalinunu kwa 120k-130k, ikifika december au january tutalinunua kwa 200K, mafuta 5Ltrs 40K, daah😂. Halafu mtu anakuja kutetea eti mfumuko wa bei ni dunia nzima, nimetoka ZAMBIA mwezi uliopita wanaisha life zuri sana, hata Uganda tu hapa hakuna huo mfumuko wa kijinga kweye vyakula.

Haya maisha utayaona mazuri ukiwa mfanyaniashara (ingawa sera nazo ni mbaya), ila kwa watumishi wa umma mtavaa mno suruali moja kwa miezi😂.
 
Nimepata nyongeza kubwa ya mshahara wakati wa magufuli kuliko wakati wa Samia japo wakati wa Samia asilimia ni kubwa.

Sina mengi ya kuongeza lakini naendelea kumshukuru Hayati DR.John Pombe Magufuli , Mungu amlaze mahali pema, tutakukumbuka daima

Magufuli alikuwa jembe sana, ila pía tukumbuke hio nyongeza enzi ya Magufuli ilikuwa ktk era ya kipindi cha miaka 5, ilhali kwa Mamá Samia ndio kwanza ana mwaka mmoja madarakani hvyo tumpe muda
 
Rais anatakiwa afanye Mambo bila kujari watu watasema Nini , na kamwe hawezi kuwafurahisha wote, na binadamu ni kiumbe mtata sana Ni ngumu kujua Ni Nini anataka.

Mama kaingia madarakani watumishi wengi ikiwemo Mimi tulipanda madaraja kwa fujo, hajakaa sawa kaweka annual increment lakini bado watu wanalalama, sasa afanye lipi tumuelewe.?

Mitano tena kwa #mama samia
 
Nimepata nyongeza kubwa ya mshahara wakati wa Magufuli kuliko wakati wa Samia japo wakati wa Samia asilimia ni kubwa.

Sina mengi ya kuongeza lakini naendelea kumshukuru Hayati DR.John Pombe Magufuli , Mungu amlaze mahali pema, tutakukumbuka daima
Mbona mlisema hajawaongezea?

Hapo kwa Rais Samia kuna kupunguzwa kwa 1% ya Kodi hujaongezea kwenye 20,000 yako..Pia hajamaliza utawala Mzee kwa hiyo tuliza bataksi.
 
Rais anatakiwa afanye Mambo bila kujari watu watasema Nini , na kamwe hawezi kuwafurahisha wote, na binadamu ni kiumbe mtata sana Ni ngumu kujua Ni Nini anataka.

Mama kaingia madarakani watumishi wengi ikiwemo Mimi tulipanda madaraja kwa fujo, hajakaa sawa kaweka annual increment lakini bado watu wanalalama, sasa afanye lipi tumuelewe.?

Mitano tena kwa #mama samia
Chawa kama hizi hazikosekani
 
Wewe chawa umeongezewa kiasi gani?
 
Wewe chawa umeongezewa kiasi gani?
Mkuu kwanza tambua kuwa Mimi sio chawa, pili Mimi sio mnafiki ukweli lazima usemwe kuwa mama anaupiga mwingi, kaingia madarakani ndani ya miezi mitatu nikapanda daraja ambalo lilikuwa na ongezeko la kiasi Cha shilingi 170,000,kamaliza mwaka kaniongezea kiasi Cha sh 55,000 Sasa bado Ni kae
Nalia Lia?,mama anajitahidi kwa kiasi chake.

Tutamuelewa mama tukiacha kumlinganisha na watu wengine,na pia pale tutakapo tambua kuwa mama ndiye rais wetu na hakuna mwingine na tuko naye Hadi mwaka 2030.

Mitano tena kwa mama samia
 
Nimepata nyongeza kubwa ya mshahara wakati wa Magufuli kuliko wakati wa Samia japo wakati wa Samia asilimia ni kubwa.

Sina mengi ya kuongeza lakini naendelea kumshukuru Hayati DR.John Pombe Magufuli , Mungu amlaze mahali pema, tutakukumbuka daima
23% ni kwa kima cha chini cha mshahara tu .
FB_IMG_1658554812119.jpg
 
Back
Top Bottom