ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Majizi yatakuja kupinga na kumuita muuwajiHayati Magufuli alikuwa ana nia njema na Taifa hili, ila wahuni wachache hasa waliokuwa karibu nae wakamzunguka wakamtoa kafara..
Kwa jinsi gharama ya maisha ilivyopanda, sikutegemea huyu mama aongeze elfu 20 tu..
Hakika Magufuli ataendelea kukumbukwa na watu wenye akili njema..
Vilio vimetawala kila mahali, ila kuna wanaufaika wachache watakuja na singeli za kaupiga mwingi..Majizi yatakuja kupinga na kumuita muuwaji
Anadanganywa na Ex wake wa awamu ya nne..Mama anahujumiwa na sukuma gang.
Mwigulu anamhujumu mama jamani.
Nimepata nyongeza kubwa ya mshahara wakati wa magufuli kuliko wakati wa Samia japo wakati wa Samia asilimia ni kubwa.
Sina mengi ya kuongeza lakini naendelea kumshukuru Hayati DR.John Pombe Magufuli , Mungu amlaze mahali pema, tutakukumbuka daima
Mbona mlisema hajawaongezea?Nimepata nyongeza kubwa ya mshahara wakati wa Magufuli kuliko wakati wa Samia japo wakati wa Samia asilimia ni kubwa.
Sina mengi ya kuongeza lakini naendelea kumshukuru Hayati DR.John Pombe Magufuli , Mungu amlaze mahali pema, tutakukumbuka daima
AiseeeAnadanganywa na Ex wake wa awamu ya nne..
Chawa kama hizi hazikosekaniRais anatakiwa afanye Mambo bila kujari watu watasema Nini , na kamwe hawezi kuwafurahisha wote, na binadamu ni kiumbe mtata sana Ni ngumu kujua Ni Nini anataka.
Mama kaingia madarakani watumishi wengi ikiwemo Mimi tulipanda madaraja kwa fujo, hajakaa sawa kaweka annual increment lakini bado watu wanalalama, sasa afanye lipi tumuelewe.?
Mitano tena kwa #mama samia
Wewe chawa umeongezewa kiasi gani?Rais anatakiwa afanye Mambo bila kujari watu watasema Nini , na kamwe hawezi kuwafurahisha wote, na binadamu ni kiumbe mtata sana Ni ngumu kujua Ni Nini anataka.
Mama kaingia madarakani watumishi wengi ikiwemo Mimi tulipanda madaraja kwa fujo, hajakaa sawa kaweka annual increment lakini bado watu wanalalama, sasa afanye lipi tumuelewe.?
Mitano tena kwa #mama samia
Mkuu kwanza tambua kuwa Mimi sio chawa, pili Mimi sio mnafiki ukweli lazima usemwe kuwa mama anaupiga mwingi, kaingia madarakani ndani ya miezi mitatu nikapanda daraja ambalo lilikuwa na ongezeko la kiasi Cha shilingi 170,000,kamaliza mwaka kaniongezea kiasi Cha sh 55,000 Sasa bado Ni kaeWewe chawa umeongezewa kiasi gani?
23% ni kwa kima cha chini cha mshahara tu .Nimepata nyongeza kubwa ya mshahara wakati wa Magufuli kuliko wakati wa Samia japo wakati wa Samia asilimia ni kubwa.
Sina mengi ya kuongeza lakini naendelea kumshukuru Hayati DR.John Pombe Magufuli , Mungu amlaze mahali pema, tutakukumbuka daima