Hapo si ilisemekana dj ndio alikua mastermind?Naye huyo shujaa wako alikuwa mpigaji tu,unajua kwa nini alimuua Lwajabe?
Kumbe hadi kukaguliwa huwa zinakaguliwa!Hizo pesa zao huwaga wanatoa masharti juu ya matumizi yake, na wakaguzi Huwa wanaleta wakwao, hata Rais Hana say juu ya Fedha zao, ndo mana ukishindwa masharti hawakupi Fedha zao.
β¬Tundu Lissu Rais Tanzania 2025-2035β¬
Angalia vizuri vyanzo vyako,hapo dj angehusika vipi na mambo ya serikali?Hapo si ilisemekana dj ndio alikua mastermind?
Magufuli yupi? Na hazina ipi? Au kule kwake kwenye hazina yake alikokutwa na fedha kwenye magunia?Nadhani Baada ya Siku 90 za ukaguzi wa Misaada ya Marekani Kwa Africa kukamilika na ripoti kuwekwa hadharani tutayajua mengi ya Kushangaza
Shujaa Magufuli aliliona hili likija mapema sana lakini akapuuzwa
Ngoja tuone πΌ
Marehemu alikua chini ya nani kitengoni?Angalia vizuri vyanzo vyako,hapo dj angehusika vipi na mambo ya serikali?
Ukiamua kumsikiliza Trump sharti uwe timamu. Yule jamaa ni bingwa wa conspiracy theories.Yeye anazikagua kama donor yani mtoaji nyinyi mlitaka kuzikagua ili mzipangie matumizi mengine.
By the way nimesikia sehemu ndogo ya ripoti ya mwanzo ya fedha za USAID, lile lilikuwa chaka la upigaji. Yani eti walipeleka dola milioni 50 Gaza kwa ajili ya condom. Sijui dola milion 200 Iraq kwa ajli ya mambo gani ya culture.
Sema wanasema USAID ni pesa ndogo kwa bajeti ya marekani, dola biliion 40 ni kama 0.6 ya bajeti yao.
Wanasema pesa nyingi inapigwa kwenye Medicare ambapo ni kama dola tilioni 2. Watu wanasema Musk aende huko.
Nyie wahuni mna ID nyingi hii ume registration leo tu na kumbagaza Magu,,Alitaka zipite hazina ili akwapue kama alivyofanya kwenye zile Trillioni 1.5, yule Jamaa ni Rais wa hovyo kuwahi kushuhudiwa
Sasa hapo nadhani ndo magumashi yenyewe yalipo, mana inawezekana hata wakaguzi ni mchongoKumbe hadi kukaguliwa huwa zinakaguliwa!
Hiki kinachofanyika sasa ni nini sasa?
Alikataliwa na nani? Hivi JPM si ndio alikataa mfuko wa rais usikaguliwe? Alikataa hata CAG asikague TGFA!! kisa ndio ilipewa usimamizi wa ndege za ATCL!!Nadhani Baada ya Siku 90 za ukaguzi wa Misaada ya Marekani Kwa Africa kukamilika na ripoti kuwekwa hadharani tutayajua mengi ya Kushangaza
Shujaa Magufuli aliliona hili likija mapema sana lakini akapuuzwa
Ngoja tuone πΌ
Kwamba wakaguzi wakija kukagua wanapokelewa kwa ukarimu πSasa hapo nadhani ndo magumashi yenyewe yalipo, mana inawezekana hata wakaguzi ni mchongo
Bonge la swali la mwaka! Tunadanganyana kama wajinga vile, Magufuli alitaka nini akakataliwa? Kama hata uhai wa watu alikuwa akiutaka anauchukua na hakuna wa kumuuliza itakuwa hayo mengine? Alikuwa akitaka fedha zitumike kwa lolote hakuheshimu Public finance act husika wala reallocation of fund na Wabunge hawakuheshiniwa kutaarifiwa. Msipende kusifia hawa walio hai ili kujikomba na walio kufa mkishindwa uchawa.Nani alimkatalia ilhali hapa kwetu kila kitu kipo chini ya Rais?
Ninyi hamuelewi, jinsi ya matumizi ya Fedha hizi za misaada wanadictate wao, Rais Hana Cha Kusema, na masharti lazma uyafuate. Rais ana Kauli juu ya Fedha zetu za Kodi na Mikopo tu hizi za misaada wanakuja na terms zao, ukigoma hawakupi. Mimi najua nafanya kaI hukuBonge la swali la mwaka! Tunadanganyana kama wajinga vile, Magufuli alitaka nini akakataliwa? Kama hata uhai wa watu alikuwa akiutaka anauchukua na hakuna wa kumuuliza itakuwa hayo mengine? Alikuwa akitaka fedha zitumike kwa lolote hakuheshimu Public finance act husika wala reallocation of fund na Wabunge hawakuheshiniwa kutaarifiwa. Msipende kusifia hawa walio hai ili kujikomba na walio kufa mkishindwa uchawa.
Awamu ya 5/6 zote mbovu tu kwenye control ya financial funds. Hakuna mwenye nafuu sasa subirini Trump awaumbue. Na kwa vile mnaondoka madarakani October 2025, ni bora mkazane kukarabati magereza maana wengi zitakuwa nyumba zenu za muda mrefu.
Kama asemavyo Pascal Mayalla hivyo ni the voice from within.
Dotto James. Awali nilifikiri dj wa Bills maana humu ndivyo anavyojulikana.Marehemu alikua chini ya nani kitengoni?
Mimi sio muhuni mkuuNyie wahuni mna ID nyingi hii ume registration leo tu na kumbagaza Magu,,
Mimi sijamsikiliza yeye, nimesikiliza media outlets mbalimbali lakini ripoti rasmi itakuja. Lakini still haiimake sense taasisi ya serikali kutoa ela kwa chama fulani tena ela nyingi.Ukiamua kumsikiliza Trump sharti uwe timamu. Yule jamaa ni bingwa wa conspiracy theories.
Trump anaishambulia hiyo USAID akiituhumu kutoa fedha kwa vyombo vya habari vilivyokuwa havimuungi mkono kama vile Politico na CBS kwa uchache!
Kifupi Trump na Elon Musk wanahisi USAID haikuwa upande wao!
Kuhusu hiyo Gaza kupewa condoms na USAID hiyo ni Gaza ya Mozambique na wala si kule Palestine.
Kuwa makini na Trump na Elon Musk. Kifupi waliingia ofisini na majina ya maadui zao Ili walipe fisasi!
Nimekuwepo USAID wakati Fulani janja janja mingi sana πMagufuli yupi? Na hazina ipi? Au kule kwake kwenye hazina yake alikokutwa na fedha kwenye magunia?
NB: Ishu ya Trump vs USAID kama huijui kiundani bora unyamaze kuliko kulete conspiracy theory.
Janja janja zipogo kila mahali...Nimekuwepo USAID wakati Fulani janja janja mingi sana π
Unaongea kana kwamba Trump anafanya SiasaBonge la swali la mwaka! Tunadanganyana kama wajinga vile, Magufuli alitaka nini akakataliwa? Kama hata uhai wa watu alikuwa akiutaka anauchukua na hakuna wa kumuuliza itakuwa hayo mengine? Alikuwa akitaka fedha zitumike kwa lolote hakuheshimu Public finance act husika wala reallocation of fund na Wabunge hawakuheshiniwa kutaarifiwa. Msipende kusifia hawa walio hai ili kujikomba na walio kufa mkishindwa uchawa.
Awamu ya 5/6 zote mbovu tu kwenye control ya financial funds. Hakuna mwenye nafuu sasa subirini Trump awaumbue. Na kwa vile mnaondoka madarakani October 2025, ni bora mkazane kukarabati magereza maana wengi zitakuwa nyumba zenu za muda mrefu.
Kama asemavyo Pascal Mayalla hivyo ni the voice from within.
Na wewe si ndiyo ukipotokea kimaisha mkuu maana wata wanajipigia ukitokwa na woga tu umetusua.Nimekuwepo USAID wakati Fulani janja janja mingi sana π
Trump yupogo kama Magufuli. Na atapitia njia ile ile!Mimi sijamsikiliza yeye, nimesikiliza media outlets mbalimbali lakini ripoti rasmi itakuja. Lakini still haiimake sense taasisi ya serikali kutoa ela kwa chama fulani tena ela nyingi.