Njemba Soro.
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 3,732
- 6,561
We mzee ni kichaa?? @pascalmayalla kumbe ni kichaa ndio maana ulipata kura Moja jimbo la kawe.... Wajumbe walijua tu kichaa kama wewe hufai.Ukimlinganisha Tirampu na Kamala, nani ni kichaa na nani akili timamu?。 Kuna ubishi kuwa
Tirampu ni kichaa?。 Wamarekani wakamtosa mtu safi, timamu na kumchagua kichaa!,hawa ni wazima?。
Vichaa kama Tirampu, na Tanzania tunao,pia wapiga kura majinga kama Wamarekani pia tunao!,hivyo sijakosea kabisa, tena ningepaswa kupongezwa na wenyeakili kwa kutoa angalizo hili mapema,Kilichotokea Uchaguzi wa Marekani, kinaweza kutokea Uchaguzi 2025?. Tuyatumie matokeo yao kama shamba darasa la 2025 au wao ni wao, na sisi ni sisii? ili muda huu kuelekea October,je wajua uchaguzi wetu wa October, tayari kuna timamu mmoja ameisha teuliwa na chama chake?, pia kuna kichaa fulani wa chama fulani yule ropo ropo pia atasimama?。
Naamini unajua fika kuwa hata wapiga kura wetu, majinga wapo!,nimeshauri hawa majinga wetu waelimishwe waerevuke ili na sisi October wasije kutuletea ujinga kama ule ujinga wa Wamarekani, wakatuchagulia yule kichaa wetu!!。
P
Nje ya mada, HIVI LILE PIKIPIKI LILILOKUBONDA KICHWA UKAVURUGUKIWA UBONGO HADI KUWA KICHAA HUJAWEKA KWENYE MAKUMBUSHO??? Ila Babu Pasco una bahati.... Unathubutu kupanda tena PIKIPIKI ukiwa umelewa?