Magufuli alithubutu JNHEPP, TRUMP kasaini Sheria ya uanzishwaji wa uzalishaji umeme wa makaa ya mawe

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Katika kutetea Uamuzi wake wa Kuitaka Nchi ya Marekan ianze kuzalisha Umeme kupitia Makaa ya Mawe, alisema "Kwa Marekani kupuuza matumizi ya Makaa ya Mawe, kulipekea Uchina kutumia Fursa hiyo na kuzalisha Umeme Kwa gharama ndogo na kufanya Nchi hiyo iwe na viwanda vingii na kuisaidia Uchina kuimarisha supply chain yake ilokuja kukuza Uchumi wa Uchina ".

Makaa ya Mawe, yanapingwa na wahuni wa Ulaya , wahuni Hawa ambao ndio wako nyuma ya Nishati SAFI( Green Energy).

Kwa Upande wa pili, Kampeni hii inasaidia Biashara ya Gesi Kwa Makampuni ya Ulaya .

MTU Mjinga anaweza kumtukana HAYATI MAGUFULI juu ya ujenzi wa JNHEPP , lakini ukweli ni kua RAIS MAGUFULI aliona kile ambacho Leo RAIS TRUMP ameamua kukitimiza Ndani ya Taifa lake.

RAIS TRUMP anahitaji Umeme wa gharama ndogo ili Viwanda virudi Marekan, Uchumi uloharibiwa na Dems ,urejee Mahali ulipokua ( Ndio sababu unaona jamaa anafuta wenye Vyeti feki, Wafanyakazi hewa na Mishahara hewa n.k).

Kihalisia kabisa kabisa, Ukiwa Kiongozi una AKILI TIMAMU na MTU wa HAKI lazima uwaonee huruma wananchi wako.

Turudi kwenye mada, Umeme katika Tanzania inayokua, ni tatizo, Licha ya JNHEPP bado tunaambiwa tunatakiwa kununua Umeme Ethiopia, hivo ndivo vichwa vya Watawala wa Kitanzania.

Sasa angalia maajabu..

Tunayo Nyukilia, ambayo Kinu kimoja tu kingetosha kusaidia Taifa hili.

Tuna Makaa ya Mawe, haya Sasa ndio yanasafirishwa tu

Kama Rais Trump anaamua kuanzisha Uzalishaji Umeme kupitia Makaa ya Mawe, Kwanini sisi kaka Taifa huru tusitesite??? .

Umeme wa Makaa ya Mawe, Ni Moja ya Umeme wa Gharama ndogo sana katika Uzalishaji wake .

Taifa Kubwa kama Marekan, Uchina, Urusi, wanazalisha Umeme kupitia Makaa ya Mawe, ni habari gan kuhusu Nchi kama Tanzania??.

Baada ya Hayati Magufuli, Atokee nani mwingine aanzishe mradi mkubwa wa kimakakati wa Uzalishaji Umeme??.

Taifa Linakua, Watu wanaongezeka, Zile MEGAWATTS alozisema David Kafulila zinazohitajika kufikia 2050, tutazipata Kwa namna gani??

Yaan Li Nchi kama hili, linazidiwa na Burkina Faso ya Ibrahim Traore ,anayetazamia ujenzi wa Kinu Cha Nyukilia kuzalisha Umeme??. Kwamba Burkina Faso na Tanzania ni Mbingu na Nchi??.

AMA KWELI, HERI NGUO KURARUKA KULIKO AKILI MAANA UTAJIRI WA MASIKINI NI UJINGA WAKE.

NCHI , Inalazimishwa kufanywa Masikini kwakua muda wote tumeongozwa na viongozi Wasokua na Wazalendo, Wasokua na Maono, Waoga, Wezi, Wasojali, na Kichwan ni SIFURI.
 
umeme wa kuzalisha kwa gesi ni umeme wa kifisadi unaofaidisha kampuni za gesi huku nchi inakula hasara ndio maana nchi nyingi zinaukataa.

Canada wenyewe wameikataa gesi wanajenga bwawa jipya linaitwa Site C Dam.

prof muongo alilazimisha sana tutumie umeme wa gesi sababu Alipewa rushwa na kampuni za gesi
 
Kwa hakika, hii Kampeni ya Mama yao, lengo lao kunufaisha Makampuni , Kuumiza wananchi, na kutajirisha Viongozi nchini wenye 10%.
 
Yaani moyo umeniuma ghafla aisee
uchungu uchungu
 
Yaani moyo umeniuma ghafla aisee
uchungu uchungu
Mkuu Lazima uumie sana ilimradi una akili huru na TIMAMU, usiyefikiria Kwa kutanguliza tumbo kama walivyo Vijana wa 'Mama asemewe '.

MTU anakuambia Tanzania inahitaji Megawatt Kadhaa kufikia 2050, hapohapo anakuambia Tanzania Inanunua Umeme kutoka Ethiopia.

Kwamba hizo Megawatts tutazipata Kwa kununua?? Au

Vyanzo vyoote vya Umeme vilivyojaa bado Umeme tununue? .
 
inaumiza akili
Hivi kipindi cha awamu ya 5 kama vile mgao wa umeme ulipotea kabisa
na kama umeme ulikuwa unapotea basi Tanesco walikula hasara sana
 
Katika kutetea Uamuzi wake wa Kuitaka Nchi ya Marekan ianze kuzalisha Umeme kupitia Makaa ya Mawe, alisema "Kwa Marekani kupuuza matumizi ya Makaa ya Mawe, kulipekea Uchina kutumia Fursa hiyo na kuzalisha Umeme Kwa gharama ndogo na kufanya Nchi hiyo iwe na viwanda vingii na kuisaidia Uchina kuimarisha supply chain yake ilokuja kukuza Uchumi wa Uchina ".

Makaa ya Mawe, yanapingwa na wahuni wa Ulaya , wahuni Hawa ambao ndio wako nyuma ya Nishati SAFI( Green Energy).

Kwa Upande wa pili, Kampeni hii inasaidia Biashara ya Gesi Kwa Makampuni ya Ulaya .

MTU Mjinga anaweza kumtukana HAYATI MAGUFULI juu ya ujenzi wa JNHEPP , lakini ukweli ni kua RAIS MAGUFULI aliona kile ambacho Leo RAIS TRUMP ameamua kukitimiza Ndani ya Taifa lake.

RAIS TRUMP anahitaji Umeme wa gharama ndogo ili Viwanda virudi Marekan, Uchumi uloharibiwa na Dems ,urejee Mahali ulipokua ( Ndio sababu unaona jamaa anafuta wenye Vyeti feki, Wafanyakazi hewa na Mishahara hewa n.k).

Kihalisia kabisa kabisa, Ukiwa Kiongozi una AKILI TIMAMU na MTU wa HAKI lazima uwaonee huruma wananchi wako.

Turudi kwenye mada, Umeme katika Tanzania inayokua, ni tatizo, Licha ya JNHEPP bado tunaambiwa tunatakiwa kununua Umeme Ethiopia, hivo ndivo vichwa vya Watawala wa Kitanzania.

Sasa angalia maajabu..

Tunayo Nyukilia, ambayo Kinu kimoja tu kingetosha kusaidia Taifa hili.

Tuna Makaa ya Mawe, haya Sasa ndio yanasafirishwa tu

Kama Rais Trump anaamua kuanzisha Uzalishaji Umeme kupitia Makaa ya Mawe, Kwanini sisi kaka Taifa huru tusitesite??? .

Umeme wa Makaa ya Mawe, Ni Moja ya Umeme wa Gharama ndogo sana katika Uzalishaji wake .

Taifa Kubwa kama Marekan, Uchina, Urusi, wanazalisha Umeme kupitia Makaa ya Mawe, ni habari gan kuhusu Nchi kama Tanzania??.

Baada ya Hayati Magufuli, Atokee nani mwingine aanzishe mradi mkubwa wa kimakakati wa Uzalishaji Umeme??.

Taifa Linakua, Watu wanaongezeka, Zile MEGAWATTS alozisema David Kafulila zinazohitajika kufikia 2050, tutazipata Kwa namna gani??

Yaan Li Nchi kama hili, linazidiwa na Burkina Faso ya Ibrahim Traore ,anayetazamia ujenzi wa Kinu Cha Nyukilia kuzalisha Umeme??. Kwamba Burkina Faso na Tanzania ni Mbingu na Nchi??.

AMA KWELI, HERI NGUO KURARUKA KULIKO AKILI MAANA UTAJIRI WA MASIKINI NI UJINGA WAKE.

NCHI , Inalazimishwa kufanywa Masikini kwakua muda wote tumeongozwa na viongozi Wasokua na Wazalendo, Wasokua na Maono, Waoga, Wezi, Wasojali, na Kichwan ni SIFURI.
No reform,ni Elections!Tutafika tuu!
 
umeme wa kuzalisha kwa gesi ni umeme wa kifisadi unaofaidisha kampuni za gesi huku nchi inakula hasara ndio maana nchi nyingi zinaukataa.

Canada wenyewe wameikataa gesi wanajenga bwawa jipya linaitwa Site C Dam.

prof muongo alilazimisha sana tutumie umeme wa gesi sababu Alipewa rushwa na kampuni za gesi
Tuzalishe sass wa makaa ya mawe ili Tuwe na umeme mwingi zaidi, umeme wa hydro power mara nyingi si wa kutegemea na kujiamini nao, kwa sababu unakabiliwa na natural danger chungu mzima kama matetemeko ya ardhi na N. K.
 
Katika kutetea Uamuzi wake wa Kuitaka Nchi ya Marekan ianze kuzalisha Umeme kupitia Makaa ya Mawe, alisema "Kwa Marekani kupuuza matumizi ya Makaa ya Mawe, kulipekea Uchina kutumia Fursa hiyo na kuzalisha Umeme Kwa gharama ndogo na kufanya Nchi hiyo iwe na viwanda vingii na kuisaidia Uchina kuimarisha supply chain yake ilokuja kukuza Uchumi wa Uchina ".

Makaa ya Mawe, yanapingwa na wahuni wa Ulaya , wahuni Hawa ambao ndio wako nyuma ya Nishati SAFI( Green Energy).

Kwa Upande wa pili, Kampeni hii inasaidia Biashara ya Gesi Kwa Makampuni ya Ulaya .

MTU Mjinga anaweza kumtukana HAYATI MAGUFULI juu ya ujenzi wa JNHEPP , lakini ukweli ni kua RAIS MAGUFULI aliona kile ambacho Leo RAIS TRUMP ameamua kukitimiza Ndani ya Taifa lake.

RAIS TRUMP anahitaji Umeme wa gharama ndogo ili Viwanda virudi Marekan, Uchumi uloharibiwa na Dems ,urejee Mahali ulipokua ( Ndio sababu unaona jamaa anafuta wenye Vyeti feki, Wafanyakazi hewa na Mishahara hewa n.k).

Kihalisia kabisa kabisa, Ukiwa Kiongozi una AKILI TIMAMU na MTU wa HAKI lazima uwaonee huruma wananchi wako.

Turudi kwenye mada, Umeme katika Tanzania inayokua, ni tatizo, Licha ya JNHEPP bado tunaambiwa tunatakiwa kununua Umeme Ethiopia, hivo ndivo vichwa vya Watawala wa Kitanzania.

Sasa angalia maajabu..

Tunayo Nyukilia, ambayo Kinu kimoja tu kingetosha kusaidia Taifa hili.

Tuna Makaa ya Mawe, haya Sasa ndio yanasafirishwa tu

Kama Rais Trump anaamua kuanzisha Uzalishaji Umeme kupitia Makaa ya Mawe, Kwanini sisi kaka Taifa huru tusitesite??? .

Umeme wa Makaa ya Mawe, Ni Moja ya Umeme wa Gharama ndogo sana katika Uzalishaji wake .

Taifa Kubwa kama Marekan, Uchina, Urusi, wanazalisha Umeme kupitia Makaa ya Mawe, ni habari gan kuhusu Nchi kama Tanzania??.

Baada ya Hayati Magufuli, Atokee nani mwingine aanzishe mradi mkubwa wa kimakakati wa Uzalishaji Umeme??.

Taifa Linakua, Watu wanaongezeka, Zile MEGAWATTS alozisema David Kafulila zinazohitajika kufikia 2050, tutazipata Kwa namna gani??

Yaan Li Nchi kama hili, linazidiwa na Burkina Faso ya Ibrahim Traore ,anayetazamia ujenzi wa Kinu Cha Nyukilia kuzalisha Umeme??. Kwamba Burkina Faso na Tanzania ni Mbingu na Nchi??.

AMA KWELI, HERI NGUO KURARUKA KULIKO AKILI MAANA UTAJIRI WA MASIKINI NI UJINGA WAKE.

NCHI , Inalazimishwa kufanywa Masikini kwakua muda wote tumeongozwa na viongozi Wasokua na Wazalendo, Wasokua na Maono, Waoga, Wezi, Wasojali, na Kichwan ni SIFURI.
Tuna import Ethepia tuna export Zambia.Hizi Mathematics ni ngumu kuzielewa.labda wanazielewa Tanesco wenyewe
 
Back
Top Bottom