Uchaguzi 2020 Magufuli alitudanganya, hebu tumpe kura Tundu Lissu naye atende

Anaenda Kwa ajili ya matibabu yake.
 
Mbona alificha safari yake ? Hadi watu wamefuchua wengine

Kwanini awafiche safari hata viongozi wa chadema ?
Sijui kama alificha.Hata Mimi binafsi nikitaka kusafiri huwa siagi hadi siku ya Safari,begi mgongoni ndipo naaga.Ni sehemu ya tamaduni zetu.
 
Acha kuwaza leo, angalia mbele. Maendeleo hayafati watu bali watu hufata maendeleo. Kukishakuwa na mifumo wezeshi ni rahisi mtu kuhamia.
 
Unagombea Urais unaficha? Tena anawaficha hadi viongozi wake?
Sijui kama alificha.Hata Mimi binafsi nikitaka kusafiri huwa siagi hadi siku ya Safari,begi mgongoni ndipo naaga.Ni sehemu ya tamaduni zetu.
 
Ni makosa makubwa kumchagua magufuli tena.
 
Mko wachache sana mliobaki kura hazitatosha.
 
Watanzania hawawezi kupigia kura msaliti wa Nchi
Pia Tanzania hatutaki ushoga,
Kama Pope Francis anatetea ushoga, na wakati huuo huo akija hapa Bongolazima Magufuli atampigia magoti na kumtui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…