Magufuli aliwakosea nini Awamu ya 5 kipindi Cha pili?

Magufuli aliwakosea nini Awamu ya 5 kipindi Cha pili?

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
21,625
Reaction score
33,688
Salaam, Shalom!!

Naomba tu kujua, Shujaa wetu, mchapakazi, mpenda watu, mthubutu, mzalendo Magufuli aliwakosea nini?

Kutumia vizuri Kodi zetu kufanya makubwa kwa muda mfupi ni kosa?

Kwanini Jina lake liondolewe katika Stendi kuu ya Mabasi Dar na wale wale mliokuwa karibu yake?

Ikiwa ni Kuna mpango huo, tafadhalini, usifanikiwe.

Source: Gazeti la Habari Leo, chapisho la Dec 16 ,2023. Katika picha iliyotumika kuelezea Mapato ya Stendi ya Magufuli sh ml 10 Kwa siku- Antipas Kavishe.

Karibuni🙏
 
Majizi hayana dogo.

Wanapambana mpaka tone la mwisho hawataki kuacha hata unyayo.
 
Nadhani hili halitakuwa, kwamba jina la stand libadilishwe !
Hakikisha vyanzo vyako vya taarifa mleta mada.
 
Mkuu, usiwe mtu wa kukurupuka, jina la stend halijabadilishwa, wew ushakuja kuanza kulia huku
 
Salaam, Shalom!!

Naomba tu kujua, Shujaa wetu, m hapakazi,mpenda watu, mthubutu,mzalendo Magufuli aliwakosea nini?

Kutumia vizuri Kodi zetu kufanya makubwa Kwa muda mfupi ni kosa?

Kwanini Jina lake liondolewe katika Stendi kuu ya Mabasi Dar na wale wale mliokuwa karibu yake?

Karibuni🙏
Shujaaa kwako siyo Kwa watu sisi tunamjua kama the worst present ever
 
USijali Jiji la dar limelaaniwa na linaenda kupotea na kuangamia!!achana nao hao wasio na sauti ya kinabii!!

Mungu ibariki mikoa iliobarikiwa kama Hulu kwetu
Salaam, Shalom!!

Naomba tu kujua, Shujaa wetu, m hapakazi,mpenda watu, mthubutu,mzalendo Magufuli aliwakosea nini?

Kutumia vizuri Kodi zetu kufanya makubwa Kwa muda mfupi ni kosa?

Kwanini Jina lake liondolewe katika Stendi kuu ya Mabasi Dar na wale wale mliokuwa karibu yake?

Karibuni🙏
 
Salaam, Shalom!!

Naomba tu kujua, Shujaa wetu, m hapakazi,mpenda watu, mthubutu,mzalendo Magufuli aliwakosea nini?

Kutumia vizuri Kodi zetu kufanya makubwa Kwa muda mfupi ni kosa?

Kwanini Jina lake liondolewe katika Stendi kuu ya Mabasi Dar na wale wale mliokuwa karibu yake?

Karibuni🙏
Una uhakika jina limebadilishwa? Au ndio unaleta Unyumbu
 
Watashindana lakini hawatashindaa...
Kupima upepo, waweke kivuli cha JPM na mgombea yyte alafu waone
 
Una uhakika jina limebadilishwa? Au ndio unaleta Unyumbu
Ndo wajue kuwa Kumbukumbu ya Magu Nchi hii haifutiki kirahisi,

Iwe tetesi au plan, imeshindwa kabla ya kuanza.
 
Back
Top Bottom