Yaani Nchi hii unawezaje kufuta ALAMA za shujaa Magufuli?Majizi hayana dogo.
Wanapambana mpaka tone la mwisho hawataki kuacha hata unyayo.
Wangevunja na flyover ingependezaYaani Nchi hii unawezaje kufuta ALAMA za shujaa Magufuli?
Mkuu, usiwe mtu wa kukurupuka, jina la stend halijabadilishwa, wew ushakuja kuanza kulia huku
Shujaaa kwako siyo Kwa watu sisi tunamjua kama the worst present everSalaam, Shalom!!
Naomba tu kujua, Shujaa wetu, m hapakazi,mpenda watu, mthubutu,mzalendo Magufuli aliwakosea nini?
Kutumia vizuri Kodi zetu kufanya makubwa Kwa muda mfupi ni kosa?
Kwanini Jina lake liondolewe katika Stendi kuu ya Mabasi Dar na wale wale mliokuwa karibu yake?
Karibuniš
Salaam, Shalom!!

Nimepiga simu nimepata uhakika mkuu halijabadilishwaMkuu, usiwe mtu wa kukurupuka, jina la stend halijabadilishwa, wew ushakuja kuanza kulia huku
Alitumiwa na mafisadi wakamtelekeza ,mbona Lisa walinuokoa wakashindwa Kwa Ben!!?Magufuli alivyomtenda Ben Saanane ndivyo alivyotendwa pia

Una uhakika jina limebadilishwa? Au ndio unaleta UnyumbuSalaam, Shalom!!
Naomba tu kujua, Shujaa wetu, m hapakazi,mpenda watu, mthubutu,mzalendo Magufuli aliwakosea nini?
Kutumia vizuri Kodi zetu kufanya makubwa Kwa muda mfupi ni kosa?
Kwanini Jina lake liondolewe katika Stendi kuu ya Mabasi Dar na wale wale mliokuwa karibu yake?
Karibuniš
Yaani Nchi hii unawezaje kufuta ALAMA za shujaa Magufuli?
Hawatoweza.Watashindana lakini hawatashindaa...
Kupima upepo, waweke kivuli cha JPM na mgombea yyte alafu waone
Ndo wajue kuwa Kumbukumbu ya Magu Nchi hii haifutiki kirahisi,Una uhakika jina limebadilishwa? Au ndio unaleta Unyumbu