johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Shetani ndiye mjaribu mkuu ambaye akiisha tujaribu mrejesho humrudia Mungu wa mbinguni
Sisi Wakristo huwa tunaomba kila siku tukisema " ...Usitutie Majaribuni/ Kishawishini lakini utuokoe na yule mwovu"
Hivyo basi shetani amepewa Mamlaka ya Kutujaribu hata sasa ila mwokozi Yesu alifanikiwa kumnyang'anya funguo za kuzimu hivyo hawezi kuuwa
So ukimwita shetani mtu aliyetusaidia kuwatia Majaribuni Wapinzani hadi tukawajua kwa Hakika Wapinzani wa mchongo ni nani, hapo sina makasiriko
Wishing you a happy new year 2023!