johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Yani wewe. Kila unachosikia hata mazungumzo ya mke wako na shoga zake unakuja kuanzisha uzi humu jamvin. Ndo maana professor mgaya amekufukuza na kukukataza usimtangazetangaze tena humu.Shetani ndiye mjaribu mkuu ambaye akiisha tujaribu mrejesho humrudia Mungu wa mbinguni
Sisi Wakristo huwa tunaomba kila siku tukisema " ...Usitutie Majaribuni/ Kishawishini lakini utuokoe na yule mwovu"
Hivyo basi shetani amepewa Mamlaka ya Kutujaribu hata sasa ila mwokozi Yesu alifanikiwa kumnyang'anya funguo za kuzimu hivyo hawezi kuuwa
So ukimwita shetani mtu aliyetusaidia kuwatia Majaribuni Wapinzani hadi tukawajua kwa Hakika Wapinzani wa mchongo ni nani, hapo sina makasiriko
Wishing you a happy new year 2023!
Mbowe wa maridhiano?!Yani wewe. Kila unachosikia hata mazungumzo ya mke wako na shoga zake unakuja kuanzisha uzi humu jamvin. Ndo maana professor mgaya amekufukuza na kukukataza usimtangazetangaze tena humu.
Mbowe Forever
BAHATI NZURI MUNGU AKAWA FUNDI AKAMALIZA MCHEZO WAPINZANI WAPO YEYE CHALIShetani ndiye mjaribu mkuu ambaye akiisha tujaribu mrejesho humrudia Mungu wa mbinguni
Sisi Wakristo huwa tunaomba kila siku tukisema " ...Usitutie Majaribuni/ Kishawishini lakini utuokoe na yule mwovu"
Hivyo basi shetani amepewa Mamlaka ya Kutujaribu hata sasa ila mwokozi Yesu alifanikiwa kumnyang'anya funguo za kuzimu hivyo hawezi kuuwa
So ukimwita shetani mtu aliyetusaidia kuwatia Majaribuni Wapinzani hadi tukawajua kwa Hakika Wapinzani wa mchongo ni nani, hapo sina makasiriko
Wishing you a happy new year 2023!
Wapinzani wako wapi?BAHATI NZURI MUNGU AKAWA FUNDI AKAMALIZA MCHEZO WAPINZANI WAPO YEYE CHALI
Kama pia ilivyotokea kwa Ayubu wa Agano la Kale! Aisee.Shetani ndiye mjaribu mkuu ambaye akiisha tujaribu mrejesho humrudia Mungu wa mbinguni
Sisi Wakristo huwa tunaomba kila siku tukisema " ...Usitutie Majaribuni/ Kishawishini lakini utuokoe na yule mwovu"
Hivyo basi shetani amepewa Mamlaka ya Kutujaribu hata sasa ila mwokozi Yesu alifanikiwa kumnyang'anya funguo za kuzimu hivyo hawezi kuuwa
So ukimwita shetani mtu aliyetusaidia kuwatia Majaribuni Wapinzani hadi tukawajua kwa Hakika Wapinzani wa mchongo ni nani, hapo sina makasiriko
Wishing you a happy new year 2023!
Duh! Mpepetaji naye akajikuta akipepetwa wodini kwa ugonjwa hadi mauti kumfikia. Kweli duniani sote tunapita tu.Shetani ndiye mjaribu mkuu ambaye akiisha tujaribu mrejesho humrudia Mungu wa mbinguni
Sisi Wakristo huwa tunaomba kila siku tukisema " ...Usitutie Majaribuni/ Kishawishini lakini utuokoe na yule mwovu"
Hivyo basi shetani amepewa Mamlaka ya Kutujaribu hata sasa ila mwokozi Yesu alifanikiwa kumnyang'anya funguo za kuzimu hivyo hawezi kuuwa
So ukimwita shetani mtu aliyetusaidia kuwatia Majaribuni Wapinzani hadi tukawajua kwa Hakika Wapinzani wa mchongo ni nani, hapo sina makasiriko
Wishing you a happy new year 2023!
Kazi ameimaliza!Duh! Mpepetaji naye akajikuta akipepetwa wodini kwa ugonjwa hadi mauti kumfikia. Kweli duniani sote tunapita tu.
Bwashee hata Yesu alipitia majaribu ya shetaniKwahiyo shetani ana wakati anafaa kuwepo ili kubalansi maisha la sivyo watu watalishwa pumba wakiambiwa ndo mchele wenyewe ππππ
Hata pale Eden kwa HawaKama pia ilivyotokea kwa Ayubu wa Agano la Kale! Aisee.
Teka, tesa, uaaaa, filisi, wape kesi uhujumu uchumi, washughulikie huko ndan ya bunge wakitoka nje ntadili nao!! So unategemea nn hapo? Hata wapinzani ni binadam wana moyo wa nyama na hofu ya kifo!!Shetani ndiye mjaribu mkuu ambaye akiisha tujaribu mrejesho humrudia Mungu wa mbinguni
Sisi Wakristo huwa tunaomba kila siku tukisema " ...Usitutie Majaribuni/ Kishawishini lakini utuokoe na yule mwovu"
Hivyo basi shetani amepewa Mamlaka ya Kutujaribu hata sasa ila mwokozi Yesu alifanikiwa kumnyang'anya funguo za kuzimu hivyo hawezi kuuwa
So ukimwita shetani mtu aliyetusaidia kuwatia Majaribuni Wapinzani hadi tukawajua kwa Hakika Wapinzani wa mchongo ni nani, hapo sina makasiriko
Wishing you a happy new year 2023!
Hahahaha Rais Samia nitafurahi sana siku akichimba mkwara kuhusu kumtusi, kumdhihaki Dkt Magufuli, yaani siku hiyo nitachinja kuku nitajua sasa rais tunaye na ana mamlaka kama ilivyokuwa kwa rais Magufuli alipokataza watu wasimseme Dkt Kikwete.Shetani ndiye mjaribu mkuu ambaye akiisha tujaribu mrejesho humrudia Mungu wa mbinguni
Sisi Wakristo huwa tunaomba kila siku tukisema " ...Usitutie Majaribuni/ Kishawishini lakini utuokoe na yule mwovu"
Hivyo basi shetani amepewa Mamlaka ya Kutujaribu hata sasa ila mwokozi Yesu alifanikiwa kumnyang'anya funguo za kuzimu hivyo hawezi kuuwa
So ukimwita shetani mtu aliyetusaidia kuwatia Majaribuni Wapinzani hadi tukawajua kwa Hakika Wapinzani wa mchongo ni nani, hapo sina makasiriko
Wishing you a happy new year 2023!
Hahahaha Rais Samia nitafurahi sana siku akichimba mkwara kuhusu kumtusi, kumdhihaki Dkt Magufuli, yaani siku hiyo nitachinja kuku nitajua sasa rais tunaye na ana mamlaka kama ilivyokuwa kwa rais Magufuli alipokataza watu wasimseme Dkt Kikwete.