Huihui2 JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 7,021 Reaction score 11,475 Dec 27, 2022 #21 Futa hii Mkuu! Wapinzani ni watanzania wenzetu na Katiba inatambua uwepo wao. Kumtukuza mtu aliyesigina Katiba kama Magufuli ni UWEHU
Futa hii Mkuu! Wapinzani ni watanzania wenzetu na Katiba inatambua uwepo wao. Kumtukuza mtu aliyesigina Katiba kama Magufuli ni UWEHU
J Johnny Sack JF-Expert Member Joined Jan 21, 2017 Posts 8,984 Reaction score 19,288 Dec 27, 2022 #22 semtawa said: Ni wapi na lini Mhe. Rais alisema hiki ulichokiandika? Yaani hiyo 'alimuita shetani..." Siyo kwa sababu tuna Id fake basi tusambaze sumu tu ktk taifa. Huu si uungwana hata kidogo na haukubaliki🙏🙏🙏 Click to expand... Ungemuuliza Kwanza huyo mleta mada ni mpinzani yupi alimuita Magufuli shetani
semtawa said: Ni wapi na lini Mhe. Rais alisema hiki ulichokiandika? Yaani hiyo 'alimuita shetani..." Siyo kwa sababu tuna Id fake basi tusambaze sumu tu ktk taifa. Huu si uungwana hata kidogo na haukubaliki🙏🙏🙏 Click to expand... Ungemuuliza Kwanza huyo mleta mada ni mpinzani yupi alimuita Magufuli shetani