What are you benefitng from hating a person who was real patriot in our country.Nenda chattle kamuulize humu huwezi pata majibu,Sasa tupo awamu ya sita kazi iendele,Bibi tozo anachapa kazi.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kuwa na akili ata kwa dakika mbili kenge wewe,kwa mleta mada hajui jpm na marehemu,watu wanaongelea vitu vya msingi wewe unaleta chuki zako kama vile marehemu alikuachia dole mqunduni ovyooo kabisa.Nenda chattle kamuulize humu huwezi pata majibu,Sasa tupo awamu ya sita kazi iendele,Bibi tozo anachapa kazi.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wafanyabiashara hao wakubwa ni akina nani na ningependa kufahamu kiasi walichonyang'anywa ili tupime na mambo aliyoyafanyaAlichukua Kwa Wafanyabiashra wakubwa kinguvu.
Masikini wakawa wanacheka cheka.
Sasa zamu yenu mnapiga YOWE!
Hii inaitwa Mkuki Kwa nguruwe Kwa binadamu mchungu.
Kila mtu akatwe Kodi, iwe Masikini iwe tajiri.
Kuwa Masikini sio exceptional ya kutokulipa Kodi.
Tozo ziendelee mpaka fikra za Kupenda maisha ya bure ziishe.
Kupenda kufanyiwa fanyiwa!
Muhimu; Serikali itumie Kodi vizuri, mafisadi na wezi wa Mali za umma watungiwe sheria Kali.
Sio mitozo iwe mingi alafu kuna watu wanaitafuna kimagendo. Hiyo haiko Sawa.
Alichukua Kwa Wafanyabiashra wakubwa kinguvu.

Zamu yetu masikini tunapiga yowe. Wewe ndio miongoni mwa hao matajiri wakubwa aliochukua hela zenu Kwa nguvu?Alichukua Kwa Wafanyabiashra wakubwa kinguvu.
Masikini wakawa wanacheka cheka.
Sasa zamu yenu mnapiga YOWE!
Hii inaitwa Mkuki Kwa nguruwe Kwa binadamu mchungu.
Kila mtu akatwe Kodi, iwe Masikini iwe tajiri.
Kuwa Masikini sio exceptional ya kutokulipa Kodi.
Tozo ziendelee mpaka fikra za Kupenda maisha ya bure ziishe.
Kupenda kufanyiwa fanyiwa!
Muhimu; Serikali itumie Kodi vizuri, mafisadi na wezi wa Mali za umma watungiwe sheria Kali.
Sio mitozo iwe mingi alafu kuna watu wanaitafuna kimagendo. Hiyo haiko Sawa.
🤣Nature ya wanawake washazoea kupewa hela. Usitegemee miujiza.
Magufuli alihakikisha wafanyabiashara wakubwa wanalipa Kodi STAHIKI kitu ambacho Kwa miaka mingi walikuwa hawafanyi. Sasa hivi tumerudi kule kule ndio maana wanahangaika na tozo. Na hizo hazitoshi kila siku wanaleta tozo ingine.Magufuli aliweza vipi kuendesha nchi kwa miaka 5 bila ya kuwaminya Wananchi kwa kodi na tozo?
Na msiniambie alikopa kwani mpaka Samia anaingia debt to GDP ratio Tanzania ilikuwa one of the lowest Duniani na ndani ya mwaka mmoja deni limeongezeka kwa > 50% sasa aliweza vipi kulipa Mishahara, kujenga Miundo mbinu kama Barabara, Reli, Bandari, Airports, kununua ndege na kufufua shirika la Airtcl, kujenga na kuweka Meli karibia kila Ziwa kubwa Tanzania, kujenga Madaraja kama mto Wami hapo hapo kujenga Dodoma kama Mji Mkuu?
Nijibuni aliweza vipi ? Magufuli was a genius, sasa hivi vilio kila mahali na ndio mwanzo tu, …
Unaweza nipa mfano wa nchi yo-yoed ile ya kistaarabu yenye hofu ya Mungu na iliyoendelea ambapo masikini wanalipa kodi na siyo matajiri? Hivi kwa masikini unaweza kupata kodi ya maana kuendesha nchi? Kwa pato gani ?
Hakuna nchi yenye hofu ya Mungu Hilo tuliweke Sawa.
Pili, hakuna nchi iliyoendelea ambayo watu Masikini hawalipi Kodi.
Kodi inakatwa Kwa percentage,
Ukitoa 10% ya elfu na aliyetoa 10% bilioni moja wote ni Sawa mmechangia nchi Kwa uwezo wenu.
Lakini sio usitake kutoa Kodi kisa umasikini, labda uwe Mzee, mtoto, au mgonjwa.
Hutaki kutoa Kodi Acha kuishi, rahisi Sana.
Alafu mtu Kodi hataki kutoa kisingizio umasikini wake lakini kuzaa watoto wengi yeye, kuoa wake wengi yeye, kunywa pombe Yeye,
Kama anapata pesa za hayo, iweje akose Tsh 100 ya Kodi Kwa ajili ya nchi yake ambayo anaishi Kwa Amani.
Au anafikiri ulinzi na usalama ni Bure?
Niliwahi kusema, Kama hatutavamia mataifa mengine basi option tuliyobakiwa nayo ni kukamuana Sisi Kwa Sisi.
Zamu yetu masikini tunapiga yowe. Wewe ndio miongoni mwa hao matajiri wakubwa aliochukua hela zenu Kwa nguvu?
Sawa tajiri.Jiwe lisilokupata huwezi sikia maumivu yake.