Magufuli aliweza vipi kwa Miaka 5?

Magufuli aliweza vipi kwa Miaka 5?

Magufuli aliweza vipi kuendesha nchi kwa miaka 5 bila ya kuwaminya Wananchi kwa kodi na tozo?

Na msiniambie alikopa kwani mpaka Samia anaingia debt to GDP ratio Tanzania ilikuwa one of the lowest Duniani na ndani ya mwaka mmoja deni limeongezeka kwa > 50% sasa aliweza vipi kulipa Mishahara, kujenga Miundo mbinu kama Barabara, Reli, Bandari, Airports, kununua ndege na kufufua shirika la Airtcl, kujenga na kuweka Meli karibia kila Ziwa kubwa Tanzania, kujenga Madaraja kama mto Wami hapo hapo kujenga Dodoma kama Mji Mkuu?

Nijibuni aliweza vipi ? Magufuli was a genius, sasa hivi vilio kila mahali na ndio mwanzo tu, …
usisahau alinunua ndege kwa cash[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
 
Kodi zote za sasa zimeanzishwa wakati WA JPM, sasa hivi ni utekelezaji tuu.

Mimi huwaga nashangaa jinsi Watanzania tunavyofikiri.

Hata nije niongoze Mimi au wewe mambo yataenda hivihivi au zaidi ya hivi.
Mfumo unatakiwa ufanyiwe marekebisho makubwa, foundation ya nchi iko hivyo,
Mifumo ya sheria na Katiba inapaswa isukwe upya.

Sasa Watanzania tukiambiwa hayo tunaona uzito, yakija yanayotugusa moja Kwa moja tunapiga yowe!
Acha uongo wewe!

Haya makodi ya huyu mamaenu ni ya kwake msimsingizia Magufuli
 
What are you benefitng from hating a person who was real patriot in our country.

A person who tried his best to keep everything on the line before he died.

A person who had the guts to change and did things that before looked impossible.
To frozen the economy of our country because of hate late behavior was a stupidity kind of life Jiwe made in our country,this person was an evil person and shall be an evilo person always.
 
Saivi ni zamu yetu kweli kabisa na wao wapumzike baada ya mtiti wa miaka5 na nusu[emoji1][emoji1]
 
What are you benefitng from hating a person who was real patriot in our country.

A person who tried his best to keep everything on the line before he died.

A person who had the guts to change and did things that before looked impossible.
To frozen the economy of our country because of hate late behavior was a stupidity kind of life Jiwe made in our country,this person was an evil person and shall be an evilo person always.
Na kakingereza kako usifikiri utaonekana una akili wakati umejaza matope tu kichwani
Ongea wewe ili tuone kama una akili kichwani yeye aliyekichukia Kiingereza amekufa na ameacha kinafundishwa mashuleni na kutumiwa maofisini kama kawaida na mitaani watu napo watu wanaongea bila shida yeye sasa hivi anacheza na mchwa.
 
Kupora fedha za wafanyabiashara wakubwa ndiyo ugenius huo?Acheni za uroho na ubaguzi yule alikuwa shetani mla watu.

Lakini hakuna kiwanda kilifungwa, kwa nini sasa hivi Viwanda vinafungwa na vingine kusitisha uzalishaji? Na kama ni kweli unavyosema alipora fedha kwa nini Samia sasa hajawarudishia hao unaosema walioporwa ?
 
Alichukua Kwa Wafanyabiashra wakubwa kinguvu.
Masikini wakawa wanacheka cheka.
CCM ni ile ile, mtaji wao ni ule ule!
Watu wale wale, ujinga ule ule!

Kwa kuwa ujinga ni chachu ya umasikini

Umasikini unavyozidi kukua ndivyo ujinga unavyozidi kunawiri.
Ujinga unavyozidi kunawiri, ndivyo mtaji wa CCM unavyozidi kukua.
 
Lakini hakuna kiwanda kilifungwa, kwa nini sasa hivi Viwanda vinafungwa na vingine kusitisha uzalishaji? Na kama ni kweli unavyosema alipora fedha kwa nini Samia hajawarudishia hao walioporwa ?
Mimi enzi hizo sikuona kiwanda chochote labda mashine za kusafishia mchele ili kuuza Kenya lakini kiwanda mimi sikuona labda kwenu.
 
Magufuli alihakikisha wafanyabiashara wakubwa wanalipa Kodi STAHIKI kitu ambacho Kwa miaka mingi walikuwa hawafanyi. Sasa hivi tumerudi kule kule ndio maana wanahangaika na tozo. Na hizo hazitoshi kila siku wanaleta tozo ingine.
Kodi za kunyang'anya watu siyo kodi stahiki asirani.
 
Lakini hakuna kiwanda kilifungwa, kwa nini sasa hivi Viwanda vinafungwa na vingine kusitisha uzalishaji?
Mimi enzi hizo sikuona kiwanda chochote labda mashine za kusafishia mchele ili kuuza Kenya lakini kiwanda mimi sikuona labda kwenu.

Hata alivyovikuta havikufungwa au kusimamisha uzalishaji kama sasa hivi Viwanda vinafungwa kwa kukosa umeme, kwa nini?
 
To frozen the economy of our country because of hate late behavior was a stupidity kind of life Jiwe made in our country,this person was an evil person and shall be an evilo person always.

Ongea wewe ili tuone kama una akili kichwani yeye aliyekichukia Kiingereza amekufa na ameacha kinafundishwa mashuleni na kutumiwa maofisini kama kawaida na mitaani watu napo watu wanaongea bila shida yeye sasa hivi anacheza na mchwa.
Basi nmehitimisha umejaza mavi kichwani
 
Kheri kupora uko mmoja ila miamoja wanaenjoy...ili nikitaka zangu kuchua mizigo ziwa victoria nasafirisha kwa meli bei nafuu tu tani zangu za kutosha au Tanganyika mi wachini uku, ila saivi mambo yamebadilika yule aliekua anaporwa kule juu saivi anarudishiwa vyake anaenjoy matunda ya nchi na sisi ambao tuko wengi uku chini saiv ndo tunaporwa hiki kidogo tulichonacho na miundombinu bado inazorota ilo ndo tatizo tu ila kama vitu vingekua vinawaka kama enzi za genius bas usingesikia malalamiko.
 
Jiwe aliendesha nchi kwa uongo na udanganyifu. Alikopa sana mikopo ya kibiashara huko nje kimya kimya.
 
Back
Top Bottom