Canabian Rasta
JF-Expert Member
- Aug 18, 2022
- 775
- 1,745
Jiwe aliendesha nchi kwa uongo na udanganyifu. Alikopa sana mikopo ya kibiashara huko nje kimya kimya.
Kwani saivi inapokopwa wazi wazi ndo riba zinapungua? Kwani ushasikia maden ya UK and etc rais wa nchi akiyasema waziwazi kua katoka kwenye ziara za kukopakopa uko? Shame on us yani we unafurahia kiongozi wako wa nchi akiweka wazi kua katoka kukopa uko ndo ujisikie proud ?