Magufuli amdiss Wema Sepetu kuhamia CHADEMA

Hekima na busara tele tu Pakawa.

QUOTE="Pakawa, post: 20123487, member: 14340"]Mimi sio kiongozi lakini hekima ninayo. Wewe umeandika ndani au nje ya keyboard?! Sio kila habari uchangie. Rudi shule kajifunze kuspell neno jepesi keyboard ndipo urudi Kuchangia. Ungesema kikeyboard chako sio kikeyboard yako. Lugha zote mbili matatizo rudi shule &$mbafu.[/QUOTE]
 
Duuh, kwa bashite kafumba macho na kuziba masikio ila kamuona Wema. Kasahau aliapa kuilinda katiba kwa gharama yyte mwaka 2015
Wallah sizonje hiyo PhD si mchezo [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ngosha anahemuka haswa, Wema anamnyima usingizi?

Mafuriko hapo Dar tu anasemaje ktk fani yake?
 
Kwani ka kwambia anataka ukuu wa mkoa kama Bashite? Tunataka vya Bashite tujiridhishe kuwa tunaongozwa na MTU sahihi siyo "kanjanja"
 
Baada ya kampeni aliwaita kwenye sherehe ya pipi na Soda
Kama anathamini wasanii amuulize mke wa hayati John Komba mpaka leo hajalipwa stahiki za mumewe
 
Kuna sehemu kamtaja wema? Hapewi kiki mtu, wema mwisho wake instagram tu
 
Afu naona hapo mwishoni kajipa na U-Mc kabisa. Ila ukweli usemwe yule dada kuondoka lazima kuna kakovu flani hivi katabakia pale.
 
ongea kwa namba bro acha povu. nyingi ndiyo tarakimu gani hiyo?
Its yr responsibility to knw tht bcz ni kwa faida yako.
NBS wana hyo report kwa 2016. M nlishaipitia ndio maana nikasema nying na kwa sasa siwez kuidownload na kuisoma for yr sake.
Unapomsema magufuli angalia mwenzio katengeneza ajira 200000 huku hujui Tz imetengeneza ngapi ni upuuzi ni heri usingecomment.
 
Acha ujinga wewe! Mwinyi aliyesema nchi inaenda kama gari bovu haina usukani, Warioba aliyesema nchi imepoteza mwelekeo na Butiku aliyesema Rais anayejiona yeye ni Tembo hatufai Watanzania mbona wote hawa hawajaenda mahakamani!?
Nenda wewe mahakamani sasa ukawastaki na hao akina mwinyi.
 
Unapomsema magufuli angalia mwenzio katengeneza ajira 200000 huku hujui Tz imetengeneza ngapi ni upuuzi ni heri usingecomment.

nitajuwaje na hajatangaza? mbona viwanda anatangaza? unawezaje kupata ujasiri wa kutangaza idadi ya viwanda vipya bila kutuambia vimeajiri wafanyakazi wangapi? au ni viwanda vya kufyatua matofali umeme soketi moja [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa Wema akijivika koti la Gwajima nae akaamua kumjibu itakuwaje? Namsifu Wema kwa kumpuuzia na kutompa kiki
 
sizonje kumbe ime mpain mtoto wema alivyo hamia peoples
 
Mbona hajataja jina la msanii yeyote, au mnajistukia na huyo bidada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…