The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Hao wasanii aliowakaribisha leo amewalipa hela yao au watadai chama maana tushajua wasanii wako ssm kimaslahi, wanalipwa kuwepo pale na sio kwamba ni wanachama wakereketwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi next match ataenda na wewe usijali, unataka aende na wewe match gani, azam vs yanga au simba vs yanga tena?Mbowe ndio kabisa alimchukua Wema Uwanja wa Taifa kuiona mechi ya Yanga na Simba. Yaani alimsahau hata mke wake, duh!
Mbona umepanick?Basi next match ataenda na wewe usijali, unataka aende na wewe match gani, azam vs yanga au simba vs yanga tena?
..... acha nijishangalie tu
Amepokelewa na mlafi gani?Wema amepata platform CHADEMA ile attention anayopata si ndogo na hii ndiyo celebrities wanachotaka.
Leo ndiyo anamjua sio msanii mzuri, kipindi anawapigia kampeni akuyaona hayo...
Kamma ulikuwepo!Wema amepata platform CHADEMA ile attention anayopata si ndogo na hii ndiyo celebrities wanachotaka.