Magufuli amdiss Wema Sepetu kuhamia CHADEMA

Magufuli amdiss Wema Sepetu kuhamia CHADEMA

Hao wasanii aliowakaribisha leo amewalipa hela yao au watadai chama maana tushajua wasanii wako ssm kimaslahi, wanalipwa kuwepo pale na sio kwamba ni wanachama wakereketwa.
 
Duh never ever did it cross my mind if our president ever noticed anything about wema.
Kumbe wema siyo mtu wa mchezo mchezo
 
Na kuwalipa hataki anadai ni madai hewa waende kwa Kikwete! Kweli tenda wema uende zako usingoje shukrani.

Leo ndiyo anamjua sio msanii mzuri, kipindi anawapigia kampeni akuyaona hayo...
 
Hao wasanii wote waliokuwepo hapo wakiandaa show uwanja wa taifa,alafu wema akija hapo nje ya uwanja kununua peasi waliohudhuria hiyo show wote watakimbilia nje kuja kumlaki wema,wema mmoja ni zaidi ya wasanii mia 8
 
Back
Top Bottom