Mimi sio kiongozi lakini hekima ninayo. Wewe umeandika ndani au nje ya keyboard?! Sio kila habari uchangie. Rudi shule kajifunze kuspell neno jepesi keyboard ndipo urudi Kuchangia. Ungesema kikeyboard chako sio kikeyboard yako. Lugha zote mbili matatizo rudi shule &$mbafu.
Kwahyo kila kitu rais atangaze? Hyo haitawezakana. Kuna annual publications za serikali soo hyo ndio njia ya kutangaza and indetails.nitajuwaje na hajatangaza? mbona viwanda anatangaza? unawezaje kupata ujasiri wa kutangaza idadi ya viwanda vipya bila kutuambia vimeajiri wafanyakazi wangapi? au ni viwanda vya kufyatua matofali umeme soketi moja [emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo ni Photoshop.Sidhani kama huyo mtu anajua maana ya hiyo T-shirt zaidi ya kuvaa km nguo!
Janga gani.hilo?Ameweza kumzungumzia Wema Sepeku lakini kashindwa kumzungumzia Bashite na vyeti vyake vya kufoji! Eh! Mungu inusuru nchi yetu na hili janga kubwa linaloikabili.
Punnguza wivu basi!Mbowe ndio kabisaa alimchukua Wema Uwanja wa Taifa kuiona mechi ya Yanga na Simba. Yaani alimsahau hata mke wake, duh!
Umekaa kichama zaidi.Punnguza wivu basi!
Ova
ALIKUWA ANATAKA MUMUACHE AENDELEE KUBWIA UGOROMagufuli akiwakaribisha wasanii kwenye mkutano wa CCM Dodoma aliwasifu kuwa ni wasanii wazuri na sio kama yule mwingine aliyehamia upande wa pili
Mkuu umevumbua device mpya, hongera!Wewe una hekima gani?? Au kuwa nyuma ya kikeyboard yako??
Kwa mara ya kwanza nakuunga mkonoAmeweza kumzungumzia Wema Sepeku lakini kashindwa kumzungumzia Bashite na vyeti vyake vya kufoji! Eh! Mungu inusuru nchi yetu na hili janga kubwa linaloikabili.
amsifu tena?Amsifu kufuata wenzake walipo.....
UmelogezewaKamzungumzia lowasa