Magufuli amdiss Wema Sepetu kuhamia CHADEMA

Magufuli amdiss Wema Sepetu kuhamia CHADEMA

Mimi sio kiongozi lakini hekima ninayo. Wewe umeandika ndani au nje ya keyboard?! Sio kila habari uchangie. Rudi shule kajifunze kuspell neno jepesi keyboard ndipo urudi Kuchangia. Ungesema kikeyboard chako sio kikeyboard yako. Lugha zote mbili matatizo rudi shule &$mbafu.

Kitu kidogo sana hicho just a typing error kwa mtu msomi wala usingemind!!!
 
nitajuwaje na hajatangaza? mbona viwanda anatangaza? unawezaje kupata ujasiri wa kutangaza idadi ya viwanda vipya bila kutuambia vimeajiri wafanyakazi wangapi? au ni viwanda vya kufyatua matofali umeme soketi moja [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahyo kila kitu rais atangaze? Hyo haitawezakana. Kuna annual publications za serikali soo hyo ndio njia ya kutangaza and indetails.
 
[emoji318]SAWA UKIPATA KIPOKEE UKIKIKOSA KIJUTIE.WATAMKUMBUKA KWANI MDA SI MREFU WENGINE WATAJIUNGA NA WEMA
 
7f289331f53ffb1ce6379ab4ac17bd42.jpg
Hiyo ni Photoshop.Sidhani kama huyo mtu anajua maana ya hiyo T-shirt zaidi ya kuvaa km nguo!
 
Ameweza kumzungumzia Wema Sepeku lakini kashindwa kumzungumzia Bashite na vyeti vyake vya kufoji! Eh! Mungu inusuru nchi yetu na hili janga kubwa linaloikabili.
Janga gani.hilo?
 
He it is who reduces rulers to nothing, Who makes the judges of the earth meaningless.
Isaiah 40:23
 
Kusifiwa au kudisiwa na huyo jamaa haisaidii lolote wala haileti tofauti.
 
Ameweza kumzungumzia Wema Sepeku lakini kashindwa kumzungumzia Bashite na vyeti vyake vya kufoji! Eh! Mungu inusuru nchi yetu na hili janga kubwa linaloikabili.
Kwa mara ya kwanza nakuunga mkono
 
Tatizilo la lyzumgumzia watu badala ya issues. Mtu akiwa upande mwingine tayari ni mbaya. Kwa nn sasa wahenga wakasema kikulacho ki nguoni mwako?
 
Hao waache hawamjui wema. Yaan walivyo na uchu wa memory card basi wake zao msiba upo mbele yao
 
Back
Top Bottom