Tetesi: Magufuli amefariki dunia

Tetesi: Magufuli amefariki dunia

Status
Not open for further replies.
Habari zilizo tufikia punde ni kuwa mhe Magufuli hatunae Tena duniani...
Ulazwe unapo stahili
Ni khabri za kueli kueli au unatuzungushia dawa ya mbu hapa[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
😭😭😭😭😭😭😭
Kama uzi umeishi kwa dakika 10 ji kweli.
Ni kweli ni kweli hatutamuona tena ni kweli
 
Kwa hiyo jamiforums imekuwa kama kijiwe kama facebook mods futa uzi huu haraka na kwann mmeuruhu kuwepo jukwaani ?
 
Jf ombeni sana wasilione hili bango..huu mtandao wenu unaweza baki tu kwenye historia kwamba kuliwahi kua na mtandao wa jf
Hivi nyie mnadhani mko very much concerned kuliko wenye JF.

Wenye JF watskuwa wameshajua kitu ndo maana huu uzi umeachwa, na ndo maana umeletwa usiku wa manane ili public iamke na taarifa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom