Tetesi: Magufuli amefariki dunia

Tetesi: Magufuli amefariki dunia

Status
Not open for further replies.
Nashangaa
Mtu akikutendea baya namna ipi hutakiwi kumuombea mabaya mwenzio. Principles za Mungu ni ngumu sana..Watu wasome psle Mungu anaposema Anasanyeshea mvua waovu na wema alikua anamaanisha nini.

Mathayo : 5
46 Maana mkiwapenda wanaowapenda ninyi mwapata thawabu gani? Hata watoza ushuru, je! Nao hawafanyi yayo hayo?
 
naona uzi bado unaendelea kuishi haujafutwa.
ila kwa kuwa ni tetesi, ngoja nisubiri habari kamili, maana wazushi ni wengi sana
 

Attachments

  • IMG_20210313_000507.jpg
    IMG_20210313_000507.jpg
    63.9 KB · Views: 4
Mpaka sasa ukiona uzi una trend basi tetesi inaweza kugeuka breaking news
Huu uzi ukifika asubuhi... Sahauni hii app ya jamii forum hapa tz, nawapa dk 10, muufute, baada ya hapo... Na forward kwa ndungulile.... Cheleweni muone
 
Mleta wewe ni mpumbavu na kibaraka wa shetani namba moja na bila shaka ipo siku shetan utamzalia mtoto.
 
Hoi hoi tunalia, machozi yatukauka
Baba tulikuzoea, vitani ulituongoza
Jemedari wetu shupavu,sasa umetangulia
Ilikuwa mitano tena,sasa imekuwa buriani!

Ulijua itakuchua, barakoa ulitwambia,
Tuzipuuzie kwa dhati, asilani tusizingatie
Kazi tuzichape,huku kifo tukikisubiri
Hati hati yako hatima, kumbe uliijua!
 
Huu uzi ukifika asubuhi... Sahauni hii app ya jamii forum hapa tz, nawapa dk 10, muufute, baada ya hapo... Na forward kwa ndungulile.... Cheleweni muone
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji872][emoji872][emoji872]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom