Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Wasipotoa jua sio takataka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasipotoa jua sio takataka
Sasa kwani Waziri mkuu akishasema ndo mtu anakuwa hawezi kufa?Hadi ww unaamin huu ujinga.... Waziri mkuu kasema yupo fits, acheni ujinga mtanyea ndoo
Tulia upashweHuu uzi ukifika asubuhi... Sahauni hii app ya jamii forum hapa tz, nawapa dk 10, muufute, baada ya hapo... Na forward kwa ndungulile.... Cheleweni muone
.Huu uzi ukifika asubuhi... Sahauni hii app ya jamii forum hapa tz, nawapa dk 10, muufute, baada ya hapo... Na forward kwa ndungulile.... Cheleweni muone
Majaliwa kajivua nguo leo hadharani. Aibu kubwa bora angekaa kimya.Dots connected??
😳Hallelujah mungu ametenda muujiza
Apokelewe kuzimu akawe kiongozi wa majini na mapepo
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Umethibitishaje kama ni uzushi?.
Mkuu kwakweli huu upuuzi siyo wa kuvumilia kabisa, na Kama ndo mods wanashindwa kudeal na Mambo ya kizushi Kama haya Basi hii jamii forum haitakuwa na Maana Tena.
EimeenMagufuli amka uishi kwa Jina la Yesu Kristo
Unamtisha nani wewe?? Ungeshafanya hivyo kisha utupe mrejesho.Huu uzi ukifika asubuhi... Sahauni hii app ya jamii forum hapa tz, nawapa dk 10, muufute, baada ya hapo... Na forward kwa ndungulile.... Cheleweni muone
Unakataa unataka ufe wewe au?Nooo! Nakataa.🤐
Kwani yeye nani Hadi asikufwe?Una matatizo wewe!