Tetesi: Magufuli amefariki dunia

Tetesi: Magufuli amefariki dunia

Status
Not open for further replies.
Nimegundua Mod kwa nini hawaufuti huu uzi wa uzushi...Ni kwa sababu haujafafanua ni Magufuli yupi.Kwa hiyo Hii ni Ze Comedi
Amesema Mheshimiwa Magufuli. Napinga kifo kwa nguvu zote kabisa. Mungu baba sikia maombi yetu
 
Adjustments.jpg
 
Naumia sana, nateseka moyoni mwangu, Mungu tenda jambo juuvyake. Wewe ni mtakayifu, Mungu tunakusihi juu ya afyavyake. Mungu simama upade wetu
 
Najisikia vibaya sana na nakosa kuamini kinachotokea
 
.

Mkuu kwakweli huu upuuzi siyo wa kuvumilia kabisa, na Kama ndo mods wanashindwa kudeal na Mambo ya kizushi Kama haya Basi hii jamii forum haitakuwa na Maana Tena.
Usiwe mwepesi wa kukanusha. Mda mwingine ni vizuri kukaa kimya na kuacha taarifa zijisahihishe zenyewe. Inaweza kua kweli au si kweli tutafute vyanzo[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
Habari nzuri iliyotufikia ni kwamba baba na mama wa mtoa uzi huu Kiraka Kikuu mjukuu wa Kibaka Mkubwa wamefariki kwa kupigwa na watu wenye hasira baada ya kuiba kuku na mahindi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom