Uchaguzi 2020 Magufuli ametimiza ahadi zake zote kwetu Watanzania kazi imebakia kwetu Wapiga kura hiyo Oktoba 28

Uchaguzi 2020 Magufuli ametimiza ahadi zake zote kwetu Watanzania kazi imebakia kwetu Wapiga kura hiyo Oktoba 28

Milioni 50 zilikwishafika kijijini kwenu? Na kompyuta walimu wengine bado hatujapata. Hebu mkumbushe hapo!
Magufuli alituahidi akipata urais matajiri wataishi kama mashetani. Mpaka sasa matajiri kibao wamefilisiwa mali zao kikatili wengine wamefungwa magerezani bila hukumu ya Mahakama na biashara zimedorola.

Alituahidi pia akiwa Rais wakulima tutalimia MENO. Ameitimiza kwa kupora korosho za wakulima kwa kutumia jeshi bila kuwalipa chochote mpaka sasa. Bei za mazao zimeshuka kupita kiwango Wakulima hatuwezi kununua pembejeo maisha magumu sana na akatoa Ahadi nyingine ya kupiga mashangazi zetu wakulima ambayo hakutuahidi awali.

Kimsingi Ahadi zake ametimiza asubirie tuu hiyo Oktoba 28 na sisi tumfurahishe kweli kweli yaani atafurahi sana.

Atajua kwamba hajui mwaka huu.

Maendeleo hayana vyama.
 
Upinzani kelele na kura zenu n mitandaon tuu lkn mikonon mwa CCM hamfurukuti
 
Ahadi gani hizo ametimiza? Hivi amefanikiwa kumalizana na mji wa Dodoma? Au ndio kahamishia makao makuu ya nchi Chato? Hizo nguvu anazotumia Chato, si angekomaa na Dodoma kama kweli ana nia ya kuufanya mji uwe mji hasa?! Kuapisha watu, kuonana na wageni wa kimataifa (marais mfano); haya si yalikuwa yafanyike Dodoma sasa hivi? Hapa kuna harufu mbaya mbaya ya kuendelea kutawala kwa miaka mingine mingi kwa mtindo huu.
 
Mbabu wa chatto kaharibu sana uchumi wa tz tar 28 oct tutamtandika bakora kwenye box la kura huyu mnyampara wa mabarabara
 
watu mna hasira utafikiri mtasimamia uhesabuji wa Kura wakati vituo vinafungwa saa 10.00 jioni
TUSIJIDANGGANYE kura zenu hazitaonekana kwani siku hizi UCHAGUZI NI KUPANGA MATOKEO SIO KUPIGA
tukutane baada ya 28/Oktoba/2020 km hamkuambulia patupu na TAML
Ushindi sio kupiga hizo kura zenu na kusambaa
Lituye
 
Million 50 kila kijiji bado.
In short hata kama ametiza vitu lkn kiuongozi hatufai. Anakotupeleka kama Taifa ni kubaya na lazima tumpige chini October.
 
Magufuli alituahidi akipata Urais matajiri wataishi kama mashetani. Mpaka sasa matajiri kibao wamefilisiwa mali zao kikatili wengine wamefungwa magerezani bila hukumu ya Mahakama na biashara zimedorola.

Alituahidi pia akiwa Rais wakulima tutalimia MENO. Ameitimiza kwa kupora korosho za wakulima kwa kutumia jeshi bila kuwalipa chochote mpaka sasa. Bei za mazao zimeshuka kupita kiwango Wakulima hatuwezi kununua pembejeo maisha magumu sana na akatoa Ahadi nyingine ya kupiga mashangazi zetu wakulima ambayo hakutuahidi awali.

Kimsingi Ahadi zake ametimiza asubirie tuu hiyo Oktoba 28 na sisi tumfurahishe kweli kweli yaani atafurahi sana.

Atajua kwamba hajui mwaka huu.

Maendeleo hayana vyama.
TSH 50 million @ Kijiji vp?
 
Back
Top Bottom