Hiv karibuni tuliona Dkt. Magufuli akitoa kofia yake na kumpa Diamond huko Mwanza. Baada ya kupita siku kadhaa tukaona pia akatoa kofia yake akampa Harmonize.
Leo hii nimeona Alikiba anaperform Bukoba kwenye kampeni za CCM usije ukashangaa pia nae atapewa kofia baada ya wasanii wenzake kupewa haijalishi ataperform vizuri au vibaya lakini kofia lazima apewe labda tu ahofie matarajio ya watu.
Kifupi Magufuli anawachezea Cinema Wasanii.