Magufuli anacheza na akili za wasanii

Magufuli anacheza na akili za wasanii

Na kwa kuongezea ni pesa nzuri sana kiasi kwamba wanaweza kutumia mwaka mzima
Hawa wasanii wanalipwa kwa kila shoo wanayofanya, sasa kama mnawaona malofa wakati hio ndio biashara yao sawa. Magu anawachezea cinema vipi? Wakati kipindi hiki cha COVID 19 duniani wasanii hawafanyi shoo kabisa lakini hawa jamaa wanapiga pesa tu
 
TUSIJE KUWASIKIA WAKILALAMIKA HAPO BADAYE TU, OHH HATUJAPEWA MSHIKO BLH BLH

ovq
 
Hiv karibuni tuliona Dkt. Magufuli akitoa kofia yake na kumpa Diamond huko Mwanza. Baada ya kupita siku kadhaa tukaona pia akatoa kofia yake akampa Harmonize.

Leo hii nimeona Alikiba anaperform Bukoba kwenye kampeni za CCM usije ukashangaa pia nae atapewa kofia baada ya wasanii wenzake kupewa haijalishi ataperform vizuri au vibaya lakini kofia lazima apewe labda tu ahofie matarajio ya watu.

Kifupi Magufuli anawachezea Cinema Wasanii.
Ninahisi Magufuli uwa anasoma mambo yanayoendelea mtandaoni, kwa Diamond alimpa kiroho safi, lakini akaja kugundua kwamba imeleta maneno na mpasuko mtandaoni wengine watajiona kwamba hawakubari kama diamond, akaona dawa ni kuwavisha Alikiba na Harmonize pia.
Ingekuwa kweli anawapa kwa kuwakubari angevishakofia hata wasanii wengine, ila kajua macho yalikuwa kwa harmonize na alikiba kaamua kuneutralize hali ya hewa.
 
Mkuu, nami naungana na wewe, na pia mleta thread hii. Diamond alipovalishwa ile kofia, ilionekana ni ujiko mkubwa sana, na ikionyesha UFALME hiviii…..kiasi kwamba kuna gazeti fulani liliandika kuwa ile kofia itampatia Tsh. M. 600.
Wakidai Wasafi wataandaa tamasha na watu wataingia kwa kiingilio kwenye uwanja wa Mkapa, ili kuionyesha kofia hiyo.
Thamani ya kofia hiyo imefilia mbali, baada na wengine nao kuvalishwa, ikiwa ni pamoja na Kiba, kama alivyotabiri mleta uzi huu!!!
 
Tendo la Mara ya kwanza lilikuwa ni la kutoka moyono, now anasawazisha mambo tu anataka aifanye iwe kawaida
 
Hiv karibuni tuliona Dkt. Magufuli akitoa kofia yake na kumpa Diamond huko Mwanza. Baada ya kupita siku kadhaa tukaona pia akatoa kofia yake akampa Harmonize.

Leo hii nimeona Alikiba anaperform Bukoba kwenye kampeni za CCM usije ukashangaa pia nae atapewa kofia baada ya wasanii wenzake kupewa haijalishi ataperform vizuri au vibaya lakini kofia lazima apewe labda tu ahofie matarajio ya watu.

Kifupi Magufuli anawachezea Cinema Wasanii.
Wabongo hamjui mnataka nini,angempaa Mondi na Kondeboy peke yao bado kuna wenzio wengekuja na bandiko kama lako linalo sema "Magufuli anawapendea kina Mondi pekee yao hana habari na Wasani wengine" Kumridhisha kila mtu si kazi ndogo mjuwe Wandugu!!
 
Mzee baba unakuaga na hasira Sana sijui hizo hasira unazitoaga wapi? alafu pia mada yangu ujaielewa kabisa umekurupuka Sana kunijibu hoja kuu ni kuwa Magu anawafanya wasanii waonekane sawa na yeye apate attention ndio maana ya kuwachezea cinema.
Huyo lazima atakua Mbeligiji,maana ndiyo wanakuwaga na Jazba muda wote!!
 
Magu ni takataka, wasanii ni takataka zaidi na wewe ni msukule.

Hapo umekasirika, kuona hilo kapelo halina thamani tena ( kama Diamond aliyokuwa kalipatia, ili ionekane kama vile ni kitu special sana )

Msanii yoyote hata Sholo Mwamba atapewa.
Wwe lazima utakua Mbeligiji! Si kwa Jazba hilo Kama unataka kufa!!
 
Anawachezea akili kivipi?
Hayo makofia si yanauzwa buku buku
Yana thamani gani kwamba MTU akipewa ni heshima?
 
Wewe unaweza kipi hapo upewe kofia au utoe kofia au ucheze na akili za hao wasanii magu noma
 
Ukipigwa risasi uje jukwaani hapa ukipongeza waliokudhuru huku mimeno yote ikiwa nje.
Kabla hujahukumu mtu,jaribu kujiridhisha kwanza kwa asilimia mia huyo unaemshuku ndiyo mtendaji mkuu wa tukio lako!!
 
Back
Top Bottom