Mzee baba unakuaga na hasira Sana sijui hizo hasira unazitoaga wapi? alafu pia mada yangu ujaielewa kabisa umekurupuka Sana kunijibu hoja kuu ni kuwa Magu anawafanya wasanii waonekane sawa na yeye apate attention ndio maana ya kuwachezea cinema.Magu ni takataka, wasanii ni takataka zaidi na wewe ni msukule.
Hapo umekasirika, kuona hilo kapelo halina thamani tena ( kama Diamond aliyokuwa kalipatia, ili ionekane kama vile ni kitu special sana )
Msanii yoyote hata Sholo Mwamba atapewa.
Nakuhurumia tu mkuu.Mzee baba unakuaga na hasira Sana sijui hizo hasira unazitoaga wapi? alafu pia mada yangu ujaielewa kabisa umekurupuka Sana kunijibu hoja kuu ni kuwa Magu anawafanya wasanii waonekane sawa na yeye apate attention ndio maana ya kuwachezea cinema.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Watajijua wenyewe
Mkaruka ulichojibu na ulichoandika mbona Ni vitu viwili tofauti? Tatizo lako unapenda Sana kutanguliza Sana chuki na hasira kwenye hoja zako kuliko akili na ndio maana mtu akiwa na mtazamo tofauti na wako unaona Kama vile ni msukuleNakuburumia tu mkuu.
Unateseka sana.
Binafsi nilikuwa kwenye hali kama yako: Niliwahi kukesha nampigia kura Diamond tuzo za MTV BASE baada ya mademu zake Wema, Jokate kuungana kumpigia kura Davido.
So najua stage uliyopo.
Kuwa kwanza, utakuja kuelewaMkaruka ulichojibu na ulichoandika mbona Ni vitu viwili tofauti? Tatizo lako unapenda Sana kutanguliza Sana chuki na hasira kwenye hoja zako kuliko akili na ndio maana mtu akiwa na mtazamo tofauti na wako unaona Kama vile ni msukule
PAGAN naona ujaelewa vizuri mada yangu me sijazungumziwa wasanii kufanya kampeni na kulipwa na CCM hoja yangu haipo uko kabisa Bali kusema Magu kuwachezea a cinema Ni suala la yeye kutoa kofia sio Jambo lingine tofauti na hilo.Hawa wasanii wanalipwa kwa kila shoo wanayofanya, sasa kama mnawaona malofa wakati hio ndio biashara yao sawa. Magu anawachezea cinema vipi? Wakati kipindi hiki cha COVID 19 duniani wasanii hawafanyi shoo kabisa lakini hawa jamaa wanapiga pesa tu
Mbona nilivyosifia mke wa Alikiba hapa jamvini na nikamsifia kiba anajua kuchagua wanawake vifaa mbona ukuja hapa kusema me Ni msukule wa Alikiba?Kuwa kwanza, utakuja kuelewa
Mara nyingi sijihusishi na threads za umbeya.Mbona nilivyosifia mke wa Alikiba hapa jamvini na nikamsifia kiba anajua kuchagua wanawake vifaa mbona ukuja hapa kusema me Ni msukule wa Alikiba?