Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,903
Nimemsikia mgombea wa urais CCM anasema anataka Tanzania iwe kama Ulaya.
1. Mwambieni hakuna ulaya ambayo imezuia vyama vya upinzani kufanya mikutano ya hadahara na wananchi wake kuandamana.
2. Hakuna Ulaya ambayo imezuia kurusha matangazo ya bunge live.
3. Hakuna Ulaya ambayo imefungia magazeti yanayoikosa serikali.
4. Hakuna Ulayaambayo inawafanya wapinzani ndani ya nchi kuwa ni watu ambao hawana haki.
4. Hakuna Ulaya ambayo imeshindwa kufanya uchunguzi wa kesi za jinai.
5. Hakuna Ulaya na haitakuja kuwepo ambayo ina katiba kama tuliyonayo sisi.
6. Mwambieni Magufuli hakuna Ulaya ambayo inakatiba inayozuia kushitakiwa kwa viongozi wake.
7. Hakuna Ulaya ambayo Rais wa nchi ndie anaye control mhimili wa bunge.
8. Hakuna Ulaya ambayo haiheshimu haki za wananchi wake.
9. Hakuna Ulaya ambayo inatamani matajiri waishi kama mashetani.
10. Hakuna Ulaya ambayo ina sheria zinazo wanyima watuhumiwa wa makosa ya jinai dhamana