Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
Utamchagua peke yako. Sisi hatuitaki CCM. Imetutesa kwa miaka zaidi ya 60. Sasa tunasema basi. CCM tuliipenda lakini yenyewe inatuchukia.October 2020 watanzania tutamchagua JPM.
Kwa iyo itatuchukua 150 years kupitia transformation?150 years ago ilikuaje?
Maana na wao walipitia certain transformation
Hiyo Ulaya itaishia kwenye ndoto zake tu. JK naye aliwandanganya watu kuwa ataifanya Kigoma kama Dubai. Hajawahi hata kuomba msamaha kwa huo uongo!Hahaaa kwahiyo leo hii Kwa mabeberu kumbe pamekuwa ni pamaana na ni sehemu za kuigwa?
Usanii tuNimemsikia mgombea wa urais CCM anasema anataka tanzania iwe kama ulaya...
Hata ulaya walijenga nchi zao Kwa kwanza ndio wanaruhusu mambo mengine yaenderehe, uwezi Kuwa unajenga barabara wakati unajenga watu wanataka kuitumia kuandamana, subiri wamalize kujenga uandamane.Nimemsikia mgombea wa urais CCM anasema anataka tanzania iwe kama ulaya.
1. Mwambieni hakuna ulaya ambayo imezuia vyama vya upinzani kufanya mikutano ya hadahara na wananchi wake kuandamana..
Nimemsikia mgombea wa urais CCM anasema anataka tanzania iwe kama ulaya...
Alifungwa kwa kuonewa?Iyo namba kumi imenigusa sana mzee wangu mimi yupo jela tangu 2016 kwa kosa lakushikwa na mrungi alafu anasema yeye ni raisi wa wanyonge apan kwakweli