Watu wengi wanafanya kosa la kifikra kwa kufikiria Ulaya ni Majengo/Miundo mbinu/ Vitu tu, na kusahau kitu muhimu zaidi “Watu wa ulaya.”Nimemsikia mgombea wa urais CCM anasema anataka tanzania iwe kama ulaya.
1. Mwambieni hakuna ulaya ambayo imezuia vyama vya upinzani kufanya mikutano ya hadahara na wananchi wake kuandamana.
2. Hakuna Ulaya ambayo imezuia kurusha matangazo ya bunge liv10. Hakuna Ulaya ambayo ina sheria zinazo wanyima ...,,
Nyerere yule Mzee Mungu atamlupa anachostahiliNimemsikia mgombea wa urais CCM anasema anataka tanzania iwe kama ulaya...
Tulieni aongoze nchi ni rais halali na roadmap ya kuongoza kaitoa jana.Ni rais wa vitendo, anayejiamini na matokeo tunayaona, awamu yake ya pili ni kutengeneza mabilionnaire na ataweza kwa sababu he works the talk, ni wachache Afrika wa aina yake.Nimemsikia mgombea wa urais CCM anasema anataka tanzania iwe kama ulaya...
🤔Nyerere yule Mzee Mungu atamlupa anachostahili
Katuchia balaa kubwa la katiba ya kibinafsi sana
Fanya kazi katiba haileti maendeleo inatoa njia ni jukumu lako kuchangamkia fursa. Utasubiri sana na pole kwa uzembe wakoNyerere yule Mzee Mungu atamlupa anachostahili
Katuchia balaa kubwa la katiba ya kibinafsi sana
Upeo wako mdogo tu ndo umekutuma kuandika hivo, ulitaka atamani kuwa Kama mataifa yaliyochini kimaendeleo?
Kuna kitu hakipo sawa kwenye reasoning yako.Fanya kazi katiba haileti maendeleo inatoa njia ni jukumu lako kuchangamkia fursa.Utasubiri sana na pole kwa uzembe wako