Elections 2015 Magufuli anatukwepa - BBC Swahili

Elections 2015 Magufuli anatukwepa - BBC Swahili

Consultant

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2008
Posts
11,503
Reaction score
20,892
Leo kwenye taarifa ya habari ya BBC Swahili saa tatu usiku, imeripotiwa kuwa John Magufuli amekuwa akikwepa kila BBC wanapotaka kumfanyia mahojiano. Matumaini yao ilikuwa iwe jana, finally, cha ajabu, jamaa akasepa dakika za mwisho.

Kwa maswali yale aliyopigwa Lowassa, no wonder Magufuli anakimbia. Huu ni udhaifu pia.
 
Uwii eve umenichekesha eti akakamatwe kwa nguvu
 
yule hawezi kulialia eti unanionea....kwikwikwiiii ukiwa bana
 
Nmefurah angalau kusikia kwa masikio yangu kuwa BBC wamejitahid kumtafuta lkn anajifanya nt reachable, otherwise wangeendelea kutudanganya hawa fisiemu
 
Back
Top Bottom