Nenda Tabora na Rukwa wanakolima a tumbaku Kama wataelewa ulichoandika. Hawakupata pembejeo na soko la tumba u hakuna.
Tanzania kutokuwa na njaa sasaivi ni matokeo ya sera ya kilimo kwanza ya JK si magufuli. Magufuli ameua biashara ya mazao ya kilimoKilimo hakiendeshwi kisiasa. Pamoja na changamoto hizo lakini tambua kulikiwa na sababu za msingi za kukataza kuuza mahindi nje ya Tanzania. Tangu kipindi hicho, umewahi kusikia Tanzania ina njaa?
Changamoto zipo na zinafahamika na kushughulikiwa
Huyo ni mtoto wa mama /kula kulala, hajui hata jembe linafananaje,zaidi ya kuona kwenye bendera ya mbogamboga.Daaah we mwana Lumumba embu ona hata aibu kidogo basi. Kilimo gani kimeinuliwa?
Kilimo sio sawa na kufanya ngono,ni sera.Undeni vikundi nendeni benki ya Kilimo. Acheni maneno mbofumbofu
Pombe imechacha haichachuki tena,watz wamemkataa na mabaya yake yooteHususani ikiwa ni sehemu pekee iliyojaa wapiga kura wa Lisu!
Lisu akipata walau kura 20% nipigwe ban ya maisha hapa jf
Hakika ninawaambia, kusubiri mtasubiri sana. Oktoba 28 watanzania wanamthibitisha jembe kwa wino wa dhahabu aongoze mbio za masafa marefu na kuhakikisha kazi inaendeleaPombe imechacha haichachuki tena,watz wamemkataa na mabaya yake yoote
Kukopesha wakulima bila kurahisisha upatikanaji wa pembejeo za kilimo,wakulima wakazipata kirahisi na kwa bei nafuu,wakazinunua kwa pesa zao wenyewe,hata kama mtawakopesha benki nzima hiyo ni kazi bure. rejeeni kwenye mabilioni ya JK yaliwasadia nini wananchi?.
Unaongelea benki ya kilimo ipi? Wakati tayari zimeunganishwa zote na kutengeneza benki moja. Usitalajie zikuunganishwa mkulima hatakuwa na chake. Mkulima ndani hii ni kama asiyekuwa na kwaoKupitia majibu yenu kuna mambo mengi nimejifunza:
1.Watu hawana taarifa za kutosha
2.Watu hawataki kufikiri nje ya boksi. Wamejijengea ulimwengu wao wa kuamini kwenye u-hasi
3.Hawajui kuwa hawajui na hawataki kuambiwa kuwa hawajui. Kifupi wametia pamba masikioni.
Badala ya kuwa wabishi na kupinga kila jambo, nawashauri yafuatayo:
1.Tafuteni kuwa na taarifa na maarifa. Hii itawawezesha kuwa na ujasiri wa kufuatilia na kuwahoji viongozi wenu. Msilalamike tuu.
2.Nendeni ofisi za kilimo katika wilaya mlizopo, ulizeni kuhusu benki ya maendeleo ya Kilimo na ni vipi inawasaidia wakulima wadogowadogo.
Narudia tena, tafuteni kuwa na taarifa na maarifa. Sasa tubadilike, tuacheni lawama, tuchukue hatua. Nakiri kuwrpo kwa changamoto Ila hakika mkiwa na Ari na ufuatiliaji mtafanikiwa.
Katika kundi hili linalolalamika, kiasi ni kundi la wasomi ambalo linasubiri ajira. Mkiwa na taarifa sahihi itasaidia:
1.Kuwaamsha wakulima vijijini wafuatilie haki zao kwa mujibu wa taratibu za nchi
2.Itawafanya viongozi wawajibike kwani wananchi wanakuwa na uelewa
Nashauri watanzania tuamke, tupambane kwa kufanya kazi kwa weledi na kuwa na taarifa. Tuunde vikundi. Mambo yanawezekana. Tunahitaji kubadili fikira zetu.
Naendelea kujifunza na naona ipo haja ya kutoa elimu ya kutosha. Nimeshaona tatizo lilipoUnaongelea benki ya kilimo ipi? Wakati tayari zimeunganishwa zote na kutengeneza benki moja. Usitalajie zikuunganishwa mkulima hatakuwa na chake. Mkulima ndani hii ni kama asiyekuwa na kwao