Magufuli ang'ara kwenye Sekta ya Kilimo. Hongera sana CCM

Hususani ikiwa ni sehemu pekee iliyojaa wapiga kura wa Lisu!

Lisu akipata walau kura 20% nipigwe ban ya maisha hapa jf
Hapa tayari umepanic hadi umehama mada.
Safari hii mataga mmejichamganya mmejiingiza kwenye kina kirefu chenye mamba wakali mmeanza kulialia 🤣
 
Wakipinga kila kitu inakuuma nini. Si na wewe uunge mkono kila kitu ili ngoma iwe draw ebo!
 
Undeni vikundi nendeni benki ya Kilimo. Acheni maneno mbofumbofu
Mwaka jana wakati nipo nyumbani huko Tanzania,nilienda hiyo benki kuomba 700 milioni. Nilichoambiwa na kufanywa,nilipeleka PCCB,majibu sijapata.
Benki pesa hawapewi kama inavyotakiwa. Wewe endelea na propaganda zako.
 
Swali fikirishi je wote tuje handeni kulima mihogo?
 
Swali fikirishi je wote tuje handeni kulima mihogo?
Handeni ni sehemu ya Tanzania. Mfano huo umetumika kuonesha kuwa kazi ya kukuza na kuimarisha sekta ya Kilimo inafanyika.
Kama haitoshi, hatuwezi wote kuwa wakulima wa mihogo.

Nataka mtu aje aseme yeye na wenzake walichukua hatua gani? Wako wapi na ni nani aliyewakwamisha? Kinyume na hapo acheni kelele, chukueni hatua
 
Kuna watu wako mjini hawajui huko kijijini serikali iliyofanya. Vijijini huko sasa hivi kuna barabara, umeme, maji na huduma afya zilizokaribu na watu. Mjini mnashangilia Lisu lakini kijijini huwaambii kitu kuhusu Magufuli. Hata katika miji serikali imefanya mengi sana. Angalia ujenzi wa barabrara ulivyofanyika katika mitaa Dar.
 
Kelele tunazo mimi kele yangu ni sera za majukwaani
 
Mwaka jana wakati nipo nyumbani huko Tanzania,nilienda hiyo benki kuomba 700 milioni. Nilichoambiwa na kufanywa,nilipeleka PCCB,majibu sijapata.
Benki pesa hawapewi kama inavyotakiwa. Wewe endelea na propaganda zako.
Huko unakoishi hakuna vigezo na masharti? Milioni 700 ni mkopo kwa mkulima mkubwa. Sasa wewe umetoka kubeba boksi unataka upewe tuu kirahisi M700?
Ni hakika kuwa hukuzingatia vigezo na masharti.
 
Mwaka jana wakati nipo nyumbani huko Tanzania,nilienda hiyo benki kuomba 700 milioni. Nilichoambiwa na kufanywa,nilipeleka PCCB,majibu sijapata.
Benki pesa hawapewi kama inavyotakiwa. Wewe endelea na propaganda zako.
PCCB tena mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…