Magufuli aondolewa kwenye group la whatsapp la marais wa Afrika Mashariki

Serious president hana muda wa kuchat kwa magroup, waendelee nalo watumiane na picha za ngono
 
wamemuona ni mnafiki kwa kushindwa kushughulikia mgogoro wa Zanzibar na kutaka kushughulikia mgogoro wa Burundi...huu ni unafiki mkubwa

machafuko ya burundi ni bora sana kuliko Zanzibar ambako watu wanaendelea na maisha kama kawaida, burundi ni vifo kila kukicha, vitabu vya mungu vinafundisha mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe
 
Laki si pesa unapaswa kujua unachokisema u sidhani kusema vibaya kwa Rais wako tena ukijua wazi unadanganya ni sifa " HAPANA "
 
magufuli ni tingatinga ivyo hana mambo ya kibishoo yeye kwake kazi2,huwenda aliona hakuna mazungumzo ya maana
 
wamemuona ni mnafiki kwa kushindwa kushughulikia mgogoro wa Zanzibar na kutaka kushughulikia mgogoro wa Burundi...huu ni unafiki mkubwa
Zanzibar kuna mgogoro? Mbona kuna jamaa yangu katoka kule juzi tu na anasema watu wanaendelea na shughuli zao kama kawaida.
 
hapa kazi tu muda wa kuchat hana na pia anaokoa pesa zisipotee hawzi kununua bando
 
hapa kazi tu muda wa kuchat hana na pia anaokoa pesa zisipotee hawzi kununua bando wakati wa Tz vijijin hawana maji watu wanakunywa tope
hapa kazi
Tu
 
magufuli tingatinga hanaga mambo ya kibishoo kwake ni kazi2 ivyo aliona kuchat kunampotezea muda wa kazi
 
Wanaongeaga nini ktk hilo group na nani administrator? Na aliyetoa hizi habari, kapata wapi access ya hilo group kuwa JP katolewa? Je na yeye ni member wa hilo group?
Tuanzie hapo labda!
ALAFU WATANZANIA MSIWE WAJINGA KUPITILIZA, KITU KIKIANDIKWA KWA KIZUNGU HAIMAANISHI NI CHA KWELI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…