Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wamemuona ni mnafiki kwa kushindwa kushughulikia mgogoro wa Zanzibar na kutaka kushughulikia mgogoro wa Burundi...huu ni unafiki mkubwa
kubomolea watu manyumba yao kunyima Uhuru vyama pinzani kufukuza watu kazini bila mpangilio kukataza tiba mbadala sasa hapo ni kuinua wananchi au kuwarudisha kwenye umasikini mtukufu
Wenzako wapo kwenye jokes..wewe povu linakutoka na kakwambia uwe mganga wa kienyeji afu ujenge mabondeni..
Zanzibar kuna mgogoro? Mbona kuna jamaa yangu katoka kule juzi tu na anasema watu wanaendelea na shughuli zao kama kawaida.wamemuona ni mnafiki kwa kushindwa kushughulikia mgogoro wa Zanzibar na kutaka kushughulikia mgogoro wa Burundi...huu ni unafiki mkubwa
Admin ni nani?
hiyo habari ni jokes,dont take it seriouslywamemuona ni mnafiki kwa kushindwa kushughulikia mgogoro wa Zanzibar na kutaka kushughulikia mgogoro wa Burundi...huu ni unafiki mkubwa
wamemuona ni mnafiki kwa kushindwa kushughulikia mgogoro wa Zanzibar na kutaka kushughulikia mgogoro wa Burundi...huu ni unafiki mkubwa