joseph kinyaga
New Member
- Dec 26, 2015
- 2
- 0
Yupo busy kutafuta majipu ya kutumbua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza simu yake haina whatsapp, sasa sijui walimuungaje?Magu atakuwa hachangii chochote maana muda huo hana
wa tz tufikie wakati tuache unafiki, sisi ndo tulikuwa wakwanza kumlalamikia mungu atupe kiongoz mchapakaz, leo hi ndo wa kwanza kulaumu,,kama ulitegemea maguful akiingia madarakan atakutetea we uliyejenga mabonden na sehemu zisizoruhusiwa hlo sahau,, HAPA KAZ TU, hakuna kuchat mtandaoni wakati mambo mengi ya kufanya yapo,,viongoz wazembe kama wewe lazima waondolewe haraka na kwa mfululizo ili kuliokoa taifa,, nanukuu: RAIS ALIYE SERIOUS HAWEZI AKA-CHAT MTANDAONI,,,, mi mwenyewe mwanachuo nina kozi 12 si-chat mtandaon sembuse magufuli,,NASEMA HIVI "HAPA KAZI TU, KUCHATI WATACHATI WAKINA KENYATA NA WENZAKE"kubomolea watu manyumba yao kunyima Uhuru vyama pinzani kufukuza watu kazini bila mpangilio kukataza tiba mbadala sasa hapo ni kuinua wananchi au kuwarudisha kwenye umasikini mtukufu
Ajiunge cha chuo ni nafuu.Ana bana matumizi ya kununua bundle.