Kuliko kupoteza mb kutizama upuuzi bora udownload PlayStationWewe hata video ujaiyangilia unakimbilïa ku ccomment. It seems huna MB zakutosha
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] by Mh Halima Mdee Ikulu imetumia 123% ya bajeti ya ikula zaidi ya bajeti iliyopagiwa. Hivi hayo matumizi alikua anatumia kwenye nini kama wageni wanapewa pipi na juice? Kweli kuna watu wachoyo na wabinafsiKwa wale wote ambao wameshindwa kutazama video hiyo hadi tamati. Mukhtasari wenyewe kwa ufupi ndio huu hapa.Juisi na pipi kwa afya njema. 😀😀😀
Tiyali umesichezea kwa kujibu. Pole sanaKiukweli sina MB na hata ningekuwanazo nisingezichezea.
Imekuchoma pole sanaHahaha 😀, mimi nimejaribu kuitizama lakini nikapoteza hamu kabla ya hata sekunde ishirini za kwanza kuisha. Kuna sauti zingine ukiziskia tu unaanza kusinzia.
Mtaangaika sana kwa news fake kama Magufuli alivyo sema
Na miaka nimeiyona KORIEHivi mafuta ya kupikia ya KORIE yanatengenezwa kutoka nchi gani wakuu?
Maana mzee hayataki anataka Mafuta ya alizeti
Kama wanakwepa kodi waondoke tu watakuja wanaolipa kodi
Na bado. Kwa tesitesi za ndani kuna plan B kuhusu. Kwa sasa tunaanza ujasusi wakiuchumi. Mtalia sanaWhat does this man have against Kenya kama sio wivu ndogo ndogo?
Ranking of economies - Doing Business - World Bank Group
Mwanzoni kabisa mkuu. Pia katikati. Anadai uzushi wa Kenya kuhusu Dangote najinsi wanavyo ujumu viwanda vya maziwa Tanzaniaungetuambia sehemu gani in min. i cant listen n watch to the whole clip
Umeharisha kama kawaida yakoVideo yenyewe naona ni ndefu zaidi ya saa moja, muda ambao sina ila nimemskliza dakika chache za mwanzo, sijaona tatizo naona anaongea vizuri tena maneno ya kujenga. Labda amenogewa huko mwisho mwisho na kupoteza network na kuanza madongo dhidi ya Kenya, kitu ambacho ni aibu kwa rais wa nchi kujishusha kwenye level hiyo.
Rais anafaa kuwa mtu ambaye thinking capacity yake haipo Kimanzense Manzese ambayo ni mipasho kila siku.
Halafu la kushangaza, Watanzania walivyo watu wa majungu, kwenye hotuba yote hiyo wamefuata kaeneo ambapo anashambulia Kenya. Ina maana hana lolote lingine na la maana ambalo mnaweza kumskliza na kujifunza, aisei nyie noma hadi huruma.
Hayo ndomatumizi mazuri ya kodi za wananchi. Tenaingebidi wasingepewa chochote hizo pesa zikatumika kununuliwa dawa. Ikulu sio hotel au restaurantKwa wale wote ambao wameshindwa kutizama video hiyo hadi tamati. Mukhtasari wenyewe kwa ufupi ndio huu hapa.Juisi na pipi kwa afya njema. 😀😀😀
Hawa jamaa wanacheza na mentality ya Magufuli. Ni raisi asiyejalibiwa.Umekurupuka.. Unge sikiliza ndyo utoe povu. Magufuli haja itaja Kenya moja kwa moja amesema chombo cha habari cha nchii jirani kimepotosha kuhusu Dangote cement then aka clarify hiyo issue. Mimi namu unga mkono vyombo vyenu vinapenda sana kupindisha habari za Tz. Humu tumesha litazama sana, Hiki siyo kitu kizuri regulator wenu inabidi ali ingilie kati hili swala Tz haiwezi kufurahia. Kipindi mlivyo chinjana blame ilipelekwa kwenye vyombo vyenu vya habari sasa mna leta choko choko kwa Tz. Madhala yake yamesha anza kuonekana na kwa Magufuli ato sita kusema na kutenda pia.
Tumejenga uwanja wa Chato na miundo mbinu mingine ambayo pesa yake haikuizinishwa na Bunge[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] by Mh Halima Mdee Ikulu imetumia 123% ya bajeti ya ikula zaidi ya bajeti iliyopagiwa. Hivi hayo matumizi alikua anatumia kwenye nini kama wageni wanapewa pipi na juice? Kweli kuna watu wachoyo na wabinafsi
MB zinakutesaKwanini uweke LiVideo lote badala ya kuweka kisehemu chenye hoja yako?
Unawatesa mkuu. Mambo mengine tusiwekeAn international brewer to invest more in new capacity, this time the focus is in Dodoma, Tanzania