Magufuli aongelea unafiki wa Kenya kwenye media na biashara.

Magufuli aongelea unafiki wa Kenya kwenye media na biashara.

Kwa wale wote ambao wameshindwa kutazama video hiyo hadi tamati. Mukhtasari wenyewe kwa ufupi ndio huu hapa.
tapatalk_1485009502701-jpeg.462300
Juisi na pipi kwa afya njema. 😀😀😀
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] by Mh Halima Mdee Ikulu imetumia 123% ya bajeti ya ikula zaidi ya bajeti iliyopagiwa. Hivi hayo matumizi alikua anatumia kwenye nini kama wageni wanapewa pipi na juice? Kweli kuna watu wachoyo na wabinafsi
 
Video yenyewe naona ni ndefu zaidi ya saa moja, muda ambao sina ila nimemskliza dakika chache za mwanzo, sijaona tatizo naona anaongea vizuri tena maneno ya kujenga. Labda amenogewa huko mwisho mwisho na kupoteza network na kuanza madongo dhidi ya Kenya, kitu ambacho ni aibu kwa rais wa nchi kujishusha kwenye level hiyo.
Rais anafaa kuwa mtu ambaye thinking capacity yake haipo Kimanzense Manzese ambayo ni mipasho kila siku.

Halafu la kushangaza, Watanzania walivyo watu wa majungu, kwenye hotuba yote hiyo wamefuata kaeneo ambapo anashambulia Kenya. Ina maana hana lolote lingine na la maana ambalo mnaweza kumskliza na kujifunza, aisei nyie noma hadi huruma.
Umeharisha kama kawaida yako
 
Kwa wale wote ambao wameshindwa kutizama video hiyo hadi tamati. Mukhtasari wenyewe kwa ufupi ndio huu hapa.
tapatalk_1485009502701-jpeg.462300
Juisi na pipi kwa afya njema. 😀😀😀
Hayo ndomatumizi mazuri ya kodi za wananchi. Tenaingebidi wasingepewa chochote hizo pesa zikatumika kununuliwa dawa. Ikulu sio hotel au restaurant
 
Umekurupuka.. Unge sikiliza ndyo utoe povu. Magufuli haja itaja Kenya moja kwa moja amesema chombo cha habari cha nchii jirani kimepotosha kuhusu Dangote cement then aka clarify hiyo issue. Mimi namu unga mkono vyombo vyenu vinapenda sana kupindisha habari za Tz. Humu tumesha litazama sana, Hiki siyo kitu kizuri regulator wenu inabidi ali ingilie kati hili swala Tz haiwezi kufurahia. Kipindi mlivyo chinjana blame ilipelekwa kwenye vyombo vyenu vya habari sasa mna leta choko choko kwa Tz. Madhala yake yamesha anza kuonekana na kwa Magufuli ato sita kusema na kutenda pia.
Hawa jamaa wanacheza na mentality ya Magufuli. Ni raisi asiyejalibiwa.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] by Mh Halima Mdee Ikulu imetumia 123% ya bajeti ya ikula zaidi ya bajeti iliyopagiwa. Hivi hayo matumizi alikua anatumia kwenye nini kama wageni wanapewa pipi na juice? Kweli kuna watu wachoyo na wabinafsi
Tumejenga uwanja wa Chato na miundo mbinu mingine ambayo pesa yake haikuizinishwa na Bunge
 
Back
Top Bottom