Magufuli aongelea unafiki wa Kenya kwenye media na biashara.

Mwanzoni kabisa mkuu. Pia katikati. Anadai uzushi wa Kenya kuhusu Dangote najinsi wanavyo ujumu viwanda vya maziwa Tanzania
amemtimua Kenyatta kama paka mwizi Arusha. Tusubiri hatua zifuatazo. Huyu ha-beep anapiga kabisa. Mazara alolalamika miaka 10 yoke yards Kikwete jamaa akachekacheka huyu anatwanga tu!
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] by Mh Halima Mdee Ikulu imetumia 123% ya bajeti ya ikula zaidi ya bajeti iliyopagiwa. Hivi hayo matumizi alikua anatumia kwenye nini kama wageni wanapewa pipi na juice? Kweli kuna watu wachoyo na wabinafsi

Hayo ndomatumizi mazuri ya kodi za wananchi. Tenaingebidi wasingepewa chochote hizo pesa zikatumika kununuliwa dawa. Ikulu sio hotel au restaurant
Mwenzenu hapo juu anasema juisi na pipi kwenye ikulu ni ishara ya uchoyo na ubinafsi.
 
thisdayes karibu sana jombaa, leo tunajifunza kuhusu niutrishen. Somo la kwanza: Juisi na pipi kwa afya njema. 😀😀😀
 
Jaribu kuangalia Aljazeera kwa wiki moja alafu uswitch uangalie BBC/CNN kwa wiki moja alafu uswitch uangalie CGTN. Na uone tofauti ya vile kila nchi yenye inamiliki hizo media zinavyo jaribu Ku control global influence kwa kuji portray kama hao ndo wakombozi au world leader wa kila kitu. CGTN itaonyesha habari ya China kufungua kiwanda kikubwa Africa na kuipatia heading ya "China industrialising Africa" , habari hio hio itaonyeshwa na BBC ikiwa na heading ya "China continue exploiting Africa" au "China exports skulled labour to Africa" , just today nimeangalia documentary moja ya A Aljazeera, basically, inalaumu Marekani kwa kusababisha magaidi kuitarget Pakistan kwasababu marekani ilitumia kambi ya kijeshi iliokua Pakistani kama launch pad ya 'war on terror' in middle east tangu 2001 na hadi sasa wapakistani 60,000 wamekufa kutokana na mashambulio ya kigaidi. Documentari kama hio haiwezi kuonyeshwa na CNN hats siku moja!

Kama mnakerwa na media za Kenya the only solution ni mtengeneze media yenu itakayo skika ukanda huu wote wa mashariki mwa Africa.
Mpende musiipende, gazeti kubwa linalo sambaza habari za Eastern Africa na kusomwa na kuuzwa zaidi ni "TheEastAfrican" if you want to control your stories and how they are written then create your own bigger media house. That's all I can say about matter.
 
wala hakusoma the East Africa. Nani ka kwambia??
 
Usinge kua biased ungeona picture vizuri. Hizo media house ulizo zitaja huwaga zina andika uzushi kuhusu nchi jirani?! Kama Magu angelalamiki kwanini hamu andiki habari za tz hapo hoja yako inge make sense. Msipende kushabikia kila kitu, hii siyo nzuri kwa mahusiano ya kibiashara na kisiasa.
 
Hawa jamaa hovyo sana.. eti angalia CNN na aljazeera!! Toka lini CNN ika anza kushambulia Canada kwa kuzusha vitu havipo.
Mitanzania bana, soma comment na uelewe kabla utoe cment yako, naona mnashida ya kuchagua ka sentensi flani ndani ya gumzo na kushikilia hako ka sentence na Ku ignore message nzima.

FYI: main point kwa hiyo comment yangu ni "KAMA UNATAKA KUELEZA STORY ZAKO KWA DUNIA KULINGANA NA VILE UNATAKA, ANZISHA MEDIA YAKO AMBAYO ITAKUA RELEVANT ENOUGH TO BE READ BY EVERYONE"
kama media ya Kenya haingekua relevant in Tz , magufuli would have not bothered to even notice the story leave alone comment on it.
 
https://www.quora.com/Do-Americans-...s-ignorant-about-Canada-as-the-media-portrays


USA is not bordered by Canada alone, mbona hauulizi kuhusu Mexico na US

Using Media Literacy to Explore Stereotypes of Mexican Immigrants
 
Huna point hapo. Wakenya zamani mlikuwa mnamawazo mazuri sana. Sijui sikuhizi mnakula nini?
Kiufupi raisi huwa asomi au kusikiliza news zote. Ikulu huwa kuna watu maalumu wameajiliwa kwa ajili yakumpatia raisi taarifa za nchi yake kutoka kwenye media zote duniani zinazo ongelea nchi yetu ya Tanzania. Raisi upewa kila update ya taarifa muhimu na source yake kutoka pande zote za dunia. Hata taarifa zinazoendeĺea humu JF ikibidi raisi upewa. The president is always informed on everything that is trending to do with the media talking about our country. Kuna mtu niliwai mwambia kuwa ndani yai thread kuna TISS na NIS sema hakunielewa.
 
Hiyo media yenu yenye nguvu ni ipi. TOKA KWENYE NDOTO Wakenya mnapenda sifa ambazo hamna. The East African ata kwenye top 20 ya magazeti yanayo uza Tz halipo. Hoja yako ya Tz kuwa na chombo chake chenye nguvu wapelekee Uhuruto waifanyie kazi kwanza. IPP media is one of the biggest media houses in Africa hilo halina ubishi mpaka CNN wana litambua hilo, Azam media is already shaking the big guns. Hoja ni ujinga wa media zenu, naomba uni jibu lengo la kuandika habari za uzushi kuhusu Tz ni nini? Au its a new market strategy to enhace sells
 
Huyu jamaa ajui kuwa raisi upewa habari za nchi kutoka vyombo vyote vya habari duniani na watu maalamu walioajiliwa kufanya hiyo kazi.
Wakenya sikuhizi vichwa maji
 

Hapo lazima alisoma gazeti mwenyewe na akakerwa kiasi cha kutoa comment yake kwa umma.
In any case kusoma au kusomewa ni personal preference, rais moi alikua akijisomea mwenyewe, Shida tunayo ongelea hapa ni kwamba gazeti hilo LA Kenya lilikua relevant enough kumkera hadi anaanza kulia lia hadharani!
Hivi ingekua iliandikwa na gazeti la Malawi au Somali au South Sudan, JPM angepoteza mda wake kuongelea hio story, you will never find our top echelon leaders commenting about stories or "propaganda" written in one of your print media because to us your newspapers and media is irrelevant and of no consequences.
Leo hii mkiamua media zote Tz zichapishe story kama "KQ company has collapsed!" wakenya hatutangojea viongozi wetu watutetee, tutawachangamkia mitandaoni na humo ndani ya media,mpaka mfute hio story kiasi cha kua by the time hio habari imemfikia rais and atakua hana LA ziada
 
Huyu jamaa ajui kuwa raisi upewa habari za nchi kutoka vyombo vyote vya habari duniani na watu maalamu walioajiliwa kufanya hiyo kazi.
Wakenya sikuhizi vichwa maji
Uko sahihi sana, Labda Uhuru hana huo utaratibu. Anasoma magazeti yote ya michezo, burudani, udaku, uchumi, ya Kenya, Ug, Rw, Tz, na dunia nzima.
 
Kiukweli sina MB na hata ningekuwanazo nisingezichezea.
Isine ikawa inalia saana kwenye msiba na kudai marehemu mmeishi naye miaka mingi na kufanya naye biashara na alikuwa mtu mwema halafu akagundua marehemu ni mtoto wa miezi 3. Una comment bila kusikiliza. Una allegy
 
Unasema lazima amesoma mwenyewe!! Mimi nakwambia hakusoma mwenyewe. Ana reports nyingi za kupitia hana muda wa kusoma gazeti la Kenya.

Toka nime jua kusoma sijawahi kukutana na habari kuhusu Kenya ambayo imetengenezwa kuichafua kwenye gazeti lolote lile. Actually Kenyan news are rarely written in our newspapers. Ata hapa tuki waletea habari zenu tuna qoute media zenu.

Be rest assured hakuna gazeti lolote Tz lina weza kuwa andika vibaya, niki copy akili yako nitasema "You are insignificant to us" ila kwa akili yangu nita kwambia Wa Tz naturaly sisi ni waungwana hatujafunzwa hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…